Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.
Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.
July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu kwenye mall hiyo “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.
Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa.
9 years ago
Bongo519 Oct
Music: Young Scooter Feat. Young Thug — We Ready
Young Scooter hasn’t released much over the last six months, but he’s now gearing up for the release of his next mixtape, Married to the Streets 2. He’s just shared a first taste with “We Ready,” which features Young Thug. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]
5 years ago
MichuziMwalimu mkuu ahukumiwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake wa darasa la saba
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13 ambaye jina linahifadhiwa
Pia Mahakama hiyo imetoa amri ya mshtakiwa kulipa fidia ya shilingi Laki 1 kwa mlalamikaji kutokana na kosa alilomtendea lililopelekea kudhurika mwili wake
Hakimu mkazi wa...
Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13 ambaye jina linahifadhiwa
Pia Mahakama hiyo imetoa amri ya mshtakiwa kulipa fidia ya shilingi Laki 1 kwa mlalamikaji kutokana na kosa alilomtendea lililopelekea kudhurika mwili wake
Hakimu mkazi wa...
9 years ago
Bongo506 Sep
Music: Young Thug — Stunna
Young Thug’s camp has never been good at stemming leaks. Unexplained Thug tracks float to the Internet’s surface every few weeks, sometimes in bulk. Now there’s a new one, called “Stunna.” If it ever comes out, it’s got whole-club-drops-everything-and-sings-along potential, especially on the choppy, simple chorus. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, […]
9 years ago
Bongo530 Sep
Video: Young Thug — Power
Rapper Young Thug baada ya kuachia video ya wimbo wake wa ‘Best Friend’ rapper huyo ameachia video mpya nyingine kutoka kwenye mixtape yake Slime Season wimbo unaitwa “Power”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka […]
9 years ago
Bongo517 Oct
Music: Young Thug — Raw
Young Thug drops off a surprising new track called “Raw,” which finds him shifting sharply towards melodic indie pop. The gorgeous beat, produced by The Treasury, consists of looping synth melodies over clanging woodblock percussion and moaning vocal samples—it’s simple, beautiful, and couldn’t sound farther from a lot of the hard-hitting beats on recent Thug […]
9 years ago
Bongo521 Oct
Music: Young Thug — No Joke
Young Thug drops off a new one today called “No Joke,” just another song in a series of leaks that have bubbled to the surface in recent months. Last week came “Raw”—while that one shifted towards synth-pop, this one finds him back in hard-charging Atlanta territory, with brash production from Metro Boomin and Chopsquad DJ. […]
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa
Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.
10 years ago
Bongo528 Nov
New Video: T.I feat. Young Thug — I Need War
T.I amedondosha video mpya wiki hii, ni ya wimbo ‘I Need War’ aliomshirikisha Young Thug.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania