Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI JWTZ WATAKIWA KULINDA MIPAKA NA RAIA KWA NGUVU NA GHARAMA YEYOTE


Baadhi ya Askari wanafunzi wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakiwa katika eneo la mapigano wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
Baadhi ya Askari NA wanafunzi Kuruta wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakikimbia na na kifaru wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
Mkuu wa shule ya Kihangaiko Kanali Sijaona Myala katikati akishangilia na Kuruti mara baada ya kumaliza zoezi la Mwisho kwa Kuruti hao katika pori la Msata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona

>Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo  kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.

 

10 years ago

Habarileo

Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji

ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mamia ya wananchi waliojitokeza kuwapokea walipokwenda kutambulishwa kwenye ofisi ya CCM Zanzibar jana. (Na Mpigapicha Wetu).MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

StarTV

JWTZ lakanusha taarifa za Chadema kwa askari kunyanganywa kadi zao.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba limewanyang’anya  kadi za kupigia kura Maafisa na Askari wake

Taarifa hizo za kunyang’anywa kadi zimetolewa na  Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ,  John Mnyika.

Akikanusha taarifa hiyo kwa waandishi wa habari  katika Makao Makuu ya Jeshi hilo Mkurugenzi wa habari na uhusiano wa  Jeshi la Wananchi JWTZ  Kanali   Ngemela...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

 

9 years ago

Habarileo

JK: Tunaboresha jeshi ili kulinda mipaka

RAIS Jakaya Kikwete amesema Tanzania inaimarisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), siyo kwa nia ya kumchokoza mtu ama nchi yoyote, bali kwa nia ya kulinda mipaka yake kwa sababu kila hatua ya maendeleo ina changamoto tofauti za ulinzi wa nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Kikosi JWTZ kulinda albino

JESHI la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kikosi cha 516 , cha kambi ya Kizumbi mkoani Shinyanga, limeahidi kuwahakikishia ulinzi na usalama watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino), wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga.

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII

Na Frank Geofray – Jeshi la Polisi, Moshi.
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo Awataka Wananchi Kulinda Mipaka Huku 49 Wakiwekwa Karantini Mkoani Rukwa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo akizungumza na viongozi mbalimbali wa vijiji na vitongoji (hawapo pichani) vinavyopaka na mwambao wa ziwa Tanganyika katika kata za Korongwe na Kabwe Wilayani NkasiMkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo akizungumza na viongozi mbalimbali wa vijiji na vitongoji vinavyopaka na mwambao wa ziwa Tanganyika katika kata za Korongwe na Kabwe Wilayani Nkasi.
Afisa Afya wa Mkoa wa Rukwa Kennedy Kyauke akitoa elimu ya hatua za kunawa mikono kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani