Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI

Stori: Francis Godwin, Iringa
KUMBE! Pia mume wa mtu ni sumu! Kikongwe wa miaka 70 aliyejitambulisha kwa jina la Gwerino Ganga amemtwanga risasi mbili mwanaume aitwaye Thadei Mbungu (40) akimtuhumu kuingilia ndoa yake kwa  kuvunja amri ya sita na mama watoto wake. Thadei Mbungu enzi wa uhai wake. Tukio hilo la ajabu lilijiri Oktoba 9, mwaka huu mkoani Iringa ambapo mashuhuda wanadai Mbugu, mbali na kukutwa na mke wa mtu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

GPL

AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo. Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26). Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki...

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Amuua mkewe kwa gurunedi Afrika Kusini

Polisi nchini Afrika kusini wanamtafuta mwanamme mmoja ambaye analaumiwa kwa kumuua mkewe kwa akitumia gurunedi

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Muuza nyama amuua mkewe kwa mapanga


NA SHAABAN MDOE, ARUSHA.
POLISI mkoani Arusha, inamsaka muuza nyama, Lucas Lomayan (35), mkazi wa Ilboru, kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumcharanga mapanga kwa kile kinachodaiwa wizi wa fedha za biashara na wivu wa kimapenzi.
Akizungumza na Uhuru, mtoto wa wanandoa hao, Jesca Lucas (10), alidai juzi saa 10 alfajiri, alisikia baba na mama yake wakizozana kuhusiana na masula ya wizi wa fedha na wivu wa kimapenzi.
Alidai baba yake alimweleza kwa ukali mama yake kuwa, alichukua fedha sh. 600,000...

 

10 years ago

GPL

MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  
MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa...

 

9 years ago

GPL

ASKARI WA ISRAEL AMUUA KWA RISASI MSICHANA WA KIPALESTINA

Askari wa Kipalestina akimuweka chini ya ulinzi msichana wa Kiislaer, Hadeel al-Hashlamon. Askari wenzake waki wakimzuia kufanya chochote kwa binti huyo. Hofu ikitanda kwa maaskari hao. Hadeel al-Hashlamon akiwa chini baada ya kupigwa risasi.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

10 years ago

GPL

MEYA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MKEWE

Daniel Crespo enzi za uhai wake. MEYA wa Bell Gardens, California nchini Marekani, Daniel Crespo ameuawa jana kwa kupigwa risasi na mkewe nyumbani kwake. Crespo alipigwa risasi wakati wa mzozo baina yake na mkewe ambapo mtoto wao wa kiume mwenye miaka 19 alijaribu kuingilia na kusukumwa na baba yake ndipo mtuhumiwa alipofyatua risasi. Marehemu alipoteza maisha akiwa njiani kupelekwa katika hospitali iliyo karibu na nyumbani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani