MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQali9drJvOS2jshJ1UvcH0pF3MtvS7rLGtSlxF7tGemGWjobaEqpMAf2xaquu50AhdjCcj5vHeT30QPILeqa51/Happy.jpg?width=650)
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Mke amuua mume kwa kumpiga nondo kichwani
11 years ago
Habarileo03 Mar
Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani
MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI
MTANZANIA Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida. Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho. Akizungumza jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini […]
The post Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI appeared first on...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi
MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4y8moz0H9-U4viFRm2ux*OVWD6FRM7ozzMtfDumLkTNXubXIOy1RRQGLbxUqX2a3*CCGnEJeAnpB8I4*s5LQnVa/mchepuko.jpg)
AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Bongo Movies03 Dec
INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe.
Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.
Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari...
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIauCMrvQcL70UGFjHBZ*ygmY4lCGGiumg9dmYMRBHjYPfQuMTF-PBB9uI80jwfwiMJj*5UI9MRg-npbhRKKuLNP/risasi.jpg)
AMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI