Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI

MTANZANIA Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida. Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho. Akizungumza  jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini […]

The post Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI

MWANANCHI Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kuwashukuru Watanzania waliompigia kura wakati wa uchaguzi mkuu. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana […]

The post Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI appeared first on...

 

10 years ago

GPL

MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  
MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

AMUUA MDENI WAKE NA KUMZIKA MWENYEWE KISHA KUHAMA NYUMBA

Hii stori inasikitisha sana wadau wa Vijimambo jinsi gani binadamu walivyokuwa wakatili umekopa anapokudai anaamua kuondoa uhai wake sina maelezo zaidi ya hiyo audio hapo chini bofya play usikilize mwenyewe ukatili huu wa binadamu si mnyama

 

9 years ago

Michuzi

AMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.

Na Mwandishi wetu,Mbeya,Jamiimojablog

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa 7 mchana huko katika kijiji cha Malolo, Kata ya Msia, wilaya ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Mashine mpya ya CT Scan, mafuriko yateketeza familia, Bomoabomoa inaendelea…#MAGAZETINI

MWANANCHI Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika. Kwa kutumia damu ya kupandikiza kutoka kwenye kitovu mwana (umbilical cord) cha mtu ambaye ana vinasaba ambavyo havipokei virusi hivyo vya Ukimwi, wataalamu hao wa tiba wa […]

The post Mashine mpya ya CT Scan, mafuriko yateketeza familia, Bomoabomoa inaendelea…#MAGAZETINI appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA‏

Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha Skafu Saed Kubenea. Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo Ilala waachiwa huru

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imewaachia huru vigogo wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, John Lubuva waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani