Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI
MWANANCHI Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kuwashukuru Watanzania waliompigia kura wakati wa uchaguzi mkuu. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana […]
The post Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI
MTANZANIA Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida. Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho. Akizungumza jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini […]
The post Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI appeared first on...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Issue ya wanaume kubambikiwa watoto, watakaopandisha ada, JPM afuta likizo TRA…#MAGAZETINI
MTANZANIA Abiria waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT). Gazeti hili lilishuhudia abiria hao wakiwa kwenye foleni wakisubiri kukata tiketi katika mabasi ya Kampuni ya Meridian yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Rombo mkoani Kilimanjaro. Katika […]
The post Issue ya wanaume kubambikiwa watoto, watakaopandisha ada, JPM afuta likizo TRA…#MAGAZETINI...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Dhamana ya vigogo TRA Sh bilioni 7.8
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeridhia kutoa dhamana kwa watuhumiwa watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwataka kila mmoja kutoa fedha taslimu Sh bilioni 2.6.
Akisoma uamuzi huo jana, Jaji Winfrida Koroso, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Tiagi Masamaki (56) ambaye ni Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo, Burton Mponezya (51) na Habibu Mponezya (45) ambaye ni Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja.
Alisema kabla ya kutoa...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Dhamana ya vigogo TRA Sh2.16 bilioni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MoQW6swxykXggs6Ez*GDgaViEpYuKK7OodLyCURQs401MzuJLByf**LkSfhgXtn4ZB4ZfvsYyfOoeTm4PUbEWeiQdSCIq4Km/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
MUME ALIVYOMFANYIA UKATILI MKEWE
11 years ago
Michuzi06 Feb
MCHUNGAJI MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI, AACHIWA KWA DHAMANA NI KUTOKANA NA KESI YA KUJERIHI
9 years ago
Habarileo16 Dec
Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12
POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Amng’ata meno mtoto baada ya kumfanyia ukatili mkewe