MUME ALIVYOMFANYIA UKATILI MKEWE

Na Hamida Hassan HUU ni ukatili uliopitiliza! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Neema Mwita, anateseka katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kufuatia jereha kubwa alilopata baada ya mumewe aliyemtaja kwa jina la Juma Mwita kummwagia uji wa moto kisa kikiwa ni kuchuma mahindi shambani bila ridhaa ya mumewe huyo.Akizungumza na Uwazi huku akimwaga machozi kila wakati, mwanamke huyo alisema siku ya tukio, yeye na mumewe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
UKATILI WA MUME
11 years ago
GPL
MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI
11 years ago
GPL
MUME AFYEKA NYETI ZA MKEWE
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Amkodishia mkewe mume wa 'kumhudumia'
11 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
11 years ago
GPL
UNDANI MUME KUMCHINJA MKEWE!
10 years ago
GPL
MUME AMCHARANGA MAPANGA MKEWE!
10 years ago
GPL
MUME AMLIPUA MKEWE KWA PETROLI
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mume akiri kumchinja mkewe London