UKATILI WA MUME

Hamida Hassan na Mayasa Mariwata UKATILI wa mume! Mama mmoja, Neema Mwita aliyeripotiwa na gazeti hili kuwa aliunguzwa na uji wa moto na mumewe Juma Mwita, amefanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Â ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1hv5ShV
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MUME ALIVYOMFANYIA UKATILI MKEWE
Na Hamida Hassan
HUU ni ukatili uliopitiliza! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Neema Mwita, anateseka katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kufuatia jereha kubwa alilopata baada ya mumewe aliyemtaja kwa jina la Juma Mwita kummwagia uji wa moto kisa kikiwa ni kuchuma mahindi shambani bila ridhaa ya mumewe huyo.Akizungumza na Uwazi huku akimwaga machozi kila wakati, mwanamke huyo alisema siku ya tukio, yeye na mumewe...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania