Dhamana ya vigogo TRA Sh2.16 bilioni
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa masharti magumu ya dhamana kwa vigogo watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kati ya washtakiwa wanane wa kesi ya uhujumu uchumi, kutokana na sakata la makontena yaliyoondolewa katika Bandari Kavu ya Azam bila kulipa kodi. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Dhamana ya vigogo TRA Sh bilioni 7.8
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeridhia kutoa dhamana kwa watuhumiwa watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwataka kila mmoja kutoa fedha taslimu Sh bilioni 2.6.
Akisoma uamuzi huo jana, Jaji Winfrida Koroso, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Tiagi Masamaki (56) ambaye ni Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo, Burton Mponezya (51) na Habibu Mponezya (45) ambaye ni Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja.
Alisema kabla ya kutoa...
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Ikungi wakusanya Sh2.9 bilioni
11 years ago
Mwananchi17 May
Kashfa ya Sh2 bilioni yaibuliwa Wizara ya Afya
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Vyama vya ushirika vyapewa mkopo Sh2 bilioni
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Washtakiwa TRA wapata dhamana
9 years ago
Habarileo28 Nov
Mtikisiko vigogo TRA
RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, muda mfupi baada ya ziara ya kushitukiza ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa iliyofanyika jana.
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI
MWANANCHI Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kuwashukuru Watanzania waliompigia kura wakati wa uchaguzi mkuu. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana […]
The post Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI appeared first on...
10 years ago
Mtanzania17 Jan
Escrow yauma vigogo BoT, TRA
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni mbili kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Washtakiwa hao walipandishwa jana kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya mahakimu wawili tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Vigogo wa TRA kesi ya makontena nje