Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikungi wakusanya Sh2.9 bilioni

Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida imekusanya Sh2.9 bilioni kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato, kati ya Julai na Septemba 30 mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TRA Singida wakusanya bilioni 4.14/-

DSC02408

Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya mlipa kodi mkoa wa Singida yaliyofanyika kwenye stand ya askofu Mabulla mjini Singida.Wa kwanza kulia ni kaimu meneja wa TRA mkoa wa Singida, Samwel Shula na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi.

Na Nathaniel Limu, Singida

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Singida, imekusanya zaidi ya shilingi 4.14 bilioni kuanzia julai mwaka jana hadi sasa, ikiwa ni ongezeko la asilimia 34 ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfuko wa GEPF wakusanya Sh37.29 bilioni

>Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) umekusanya Sh37.29 bilioni kutoka kwa wanachama wake 76,000 katika kipindi cha miaka 10 kuanzia 2004 hadi Juni 2014.

 

9 years ago

Mwananchi

Dhamana ya vigogo TRA Sh2.16 bilioni

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa masharti magumu ya dhamana kwa vigogo watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kati ya washtakiwa wanane wa kesi ya uhujumu uchumi, kutokana na sakata la makontena yaliyoondolewa katika Bandari Kavu ya Azam bila kulipa kodi.     

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa ya Sh2 bilioni yaibuliwa Wizara ya Afya

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeingia katika kashfa wilayani hapa baada ya kutoa Sh2 bilioni kwa mkandarasi aliyepewa zabuni ya ujenzi wa vituo vya afya na zahanati, lakini akavitelekeza bila kumalizia uje

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya ushirika vyapewa mkopo Sh2 bilioni

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wilaya ya Mbinga, limetoa mkopo wa Sh 2 bilioni kwa vyama vinne vya ushirika ili viweze kukusanyia kahawa kwa wanachama wake ambao ni wakulima.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maliasili wakusanya zaidi ya mil. 260/- Mpanda 

HALMASHAURI ya  Wilaya  ya Mpanda  imekusanya zaidi ya sh. milioni 260  zilizotokana  na mapato ya  ndani  zilizokusanywa  na Idara  ya Ardhi  na Maliasili  katika kipindi  cha mwaka mmoja  kuanzia  Julai  2013 ...

 

9 years ago

Bongo5

Machangudoa wa Zimbabwe wakusanya mbegu za kiume na kuziuza kwa gharama kubwa

Prostitute+sex+worker

Wanaume wasio waaminifu walionywa mwaka jana nchini Zimbabwe kutoka miji ya Gwanda na Beitbridge iliyopo mpakani mwa Zimbabwe na Afrika ya Kusini.

Prostitute+sex+worker

Machangudoa kutoka miji hiyo hukusanya mbegu za kiume na kwenda kuziuza nchini Afrika ya Kusini. Inasadikika kuwa mbegu hizo zinakwenda kwa waganga wa kienyeji maarufu kama sangoma ili kutumika kwa mambo ya kishirikina.

Wengine wakihisi kwamba wanawake hao huuza mbegu hizo kati ya dola 25 hadi 30 kwa chupa ya milimeta 250 yaani robo lita....

 

9 years ago

Michuzi

WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI WAKUSANYA NGUVU KWA PAMOJA KUHUBIRI JUU YA UMUHIMU WA AMANI

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali akizungumza na  Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Amani hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Mwaka huu na kusisitiza onyesho la mavazi litakalo fanyika tarehe Oktoba  17 Mwaka huu katika ukumbi wa King Solomon uliopo Eater Point Namanga, ambalo litakaloonyesha kazi za wa wabunifu mbalimbali kama Kiki Zimba pamoja na Martin Kadinda. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini taarifa iliyokuwa inatolewa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News! Wananchi wa Yombo jijini Dar “wakamua jipu” wakusanya taka watupa ofisi ya Mtendaji!

569e188b-8fc3-4f69-9f09-029f69de67d0

Takataka zinavyoonekana mbele ya ofisi za Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Yombo baada ya Wananchi masaa machache yaliyopita kuamua kwenda hapo na kutupaa taka hizo kwa kile walichokieleza kuwa, Mtendaji huyo kushindwa kuzoa taka licha ya wananchi kulipa pesa za ukusanyaji wake. (Picha na  JM wa Modewjiblog-Yombo).

Katika hali isiliyo ya kawaida,  wananchi wa Yombo wameamua kuchukua hatua ya kukusanya takataaka zao zilizokuwa pembeni mwa nyumba zao na kisha kwenda kuzitupa mbele ya ofisi ya Afisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani