Machangudoa wa Zimbabwe wakusanya mbegu za kiume na kuziuza kwa gharama kubwa
Wanaume wasio waaminifu walionywa mwaka jana nchini Zimbabwe kutoka miji ya Gwanda na Beitbridge iliyopo mpakani mwa Zimbabwe na Afrika ya Kusini.
Machangudoa kutoka miji hiyo hukusanya mbegu za kiume na kwenda kuziuza nchini Afrika ya Kusini. Inasadikika kuwa mbegu hizo zinakwenda kwa waganga wa kienyeji maarufu kama sangoma ili kutumika kwa mambo ya kishirikina.
Wengine wakihisi kwamba wanawake hao huuza mbegu hizo kati ya dola 25 hadi 30 kwa chupa ya milimeta 250 yaani robo lita....
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M321FtV0quIBJc4Nf*AJhOM0WiRhURW1XUfD346KKy*MCibHIlLGhd2tbRTewSc0N2E4-109tMRLZBII9ndtpo3h/boga1.jpg?width=650)
MBEGU ZA MABOGA KWA AFYA YA MOYO, MIFUPA NA NGUVU ZA KIUME-2
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
UK yakumbwa na uhaba wa mbegu za kiume
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
UK kuanzisha benki ya mbegu za kiume
10 years ago
BBCSwahili09 May
Wanasayansi watengeza mbegu za kiume
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Vuna mbegu za kiume mkiwa na miaka18
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Ripoti: Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Mbegu za kiume huhifadhi virusi vya ebola
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAKALA: Mkojo, mbegu za kiume zinapotokea kwenye paja
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Mbegu za kiume za mwenye VVU zaoshwa zatumika katika uzazi