Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UK yakumbwa na uhaba wa mbegu za kiume

Upungufu wa mbegu za kiume huenda ikalazimu kiliniki za uzazi Uingereza kuchukua mbegu duni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu

NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: India yakumbwa na uhaba wa hospitali

Maambukizi mengi yameshuhudiwa katika mji wa Mumbai na hata kupita idadi iliyoshuhudiwa Wuhan,China ambapo maambukizi hayo yalishuhudiwa kwanza.

 

11 years ago

BBCSwahili

UK kuanzisha benki ya mbegu za kiume

Uingereza inatarajia kuanzisha benki ya mbegu za kiume kuondokana na upungufu wa mbegu hizo za uzazi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanasayansi watengeza mbegu za kiume

Seli za mbegu za kiume zimetengezwa katika maabara kwa mara ya kwanza na hivyobasi kuwapa matumaini wanaume wasio na uwezo wa kupata watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vuna mbegu za kiume mkiwa na miaka18

Mtafiti mmoja wa maswala ya uzazi nchini Uingereza amezua mjadala mkali baada ya kuwashauri vijana kuvuna mbegu za kiume wakiwa na miaka18

 

9 years ago

Mwananchi

Mbegu za kiume huhifadhi virusi vya ebola

Utafiti umeonyesha virusi vya ebola vinaweza kudumu kwenye mbegu za kiume kwa baadhi ya watu waliopona ugonjwa huo kwa takriban miezi tisa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti: Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume

Utafiti uliofanywa nchini Denmark umeonyesha uzani wa mwanamume huathiri seli za mbegu za kiume na huenda ukachangia katika kuwafanya watoto wanaozaliwa kuwa wanene.

 

11 years ago

Mwananchi

MAKALA: Mkojo, mbegu za kiume zinapotokea kwenye paja

>Paja la mguu wa kushoto wa Hubert Mkenda (49) mkazi wa Kijiji cha Msaranga, Kata ya Kitale, Rombo mkoani Kilimanjaro, limetoboka na kutengeneza sehemu ambayo inapitisha haja ndogo (mkojo) na mbegu za kiume.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA UZALISHAJI WA MBEGU ZA KIUME (LOW SPERM COUNT)

Matatizo katika uzalishaji wa mbegu za kiume inahusiana na kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana katika manii. Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni ishirini hadi milioni mia tatu hamsini kwa tendo, chini ya milioni ishirini huwezi kumpa mimba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani