Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu
NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
UK yakumbwa na uhaba wa mbegu za kiume
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Virusi vya corona: India yakumbwa na uhaba wa hospitali
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Uhaba wa damu usifumbiwe macho
MOJA ya taarifa zilizopo kwenye gazeti hili ni uhaba mkubwa wa damu katika hospitali na vituo vya afya, ambapo mahitaji ya mwaka ni chupa 400,000 lakini zinazopatikana ni 160,000. Kwa...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
‘Tanzania ina uhaba mkubwa wa damu’
TANZANIA inakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu katika hospitali na vituo vya afya ambapo mahitaji ya mwaka ni chupa 400,000 lakini zinazopatikana ni 160,000. Uhaba huo umebainishwa jana jijini Dar...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Uhaba wa damu waikumba Mount Meru
Na Mwandishi Wetu, Arusha
HOSPITALI ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu hospitalini hapo.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mganga Mkuu wa Hospital ya Mkoa wa Arusha, Dk. Frida Mokiti, alipokuwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Maafa ya Mkoa, ambapo alisema hospitali hiyo inahitaji uniti 1560 za damu salama, waka akiba ya damu salama iliyopo ni uniti 40 .
Kutokana na upungufu...
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Uhaba vifaatiba waitikisa benki ya damu Tanzania
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Ni kwa nini Kenya inakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu?
9 years ago
Habarileo30 Nov
Muhimbili yakabiliwa na uhaba vyumba vya `ICU’
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhaba wa wadi za wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na mahitaji ya huduma hiyo kwa wagonjwa hospitalini hapo.
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Muhimbili yaishiwa damu
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu na kwa siku wanakusanya chupa 25 hadi 45 pekee, wakati mahitaji halisi ni chupa 70 hadi 100.
Akizungumza na MTANZANIA hospitalini hapo jana, Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo, alisema upungufu huo ni sawa na asilimia 60.
“Mahitaji ya damu hapa hospitalini ni makubwa, tunakabiliwa na upungufu kwa asilimia 60. Ili yatosheleze tunahitaji kukusanya chupa 70 hadi 100 kwa siku lakini...