Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kwa nini Kenya inakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu?

Kenya inakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu ya binadamu hospitalini - na mara nyingi jamaa na marafiki wa wagonjwa wanalazimika kuomba msaada wa watu kujitokeza kutoa damu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania ina uhaba mkubwa wa damu’

TANZANIA inakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu katika hospitali na vituo vya afya ambapo mahitaji ya mwaka ni chupa 400,000 lakini zinazopatikana ni 160,000. Uhaba huo umebainishwa jana jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhaba wa damu usifumbiwe macho

MOJA ya taarifa zilizopo kwenye gazeti hili ni uhaba mkubwa wa damu katika hospitali na vituo vya afya, ambapo mahitaji ya mwaka ni chupa 400,000 lakini zinazopatikana ni 160,000. Kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu

NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Uhaba wa damu waikumba Mount Meru

blood20Na Mwandishi Wetu, Arusha

HOSPITALI ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama  kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji  damu hospitalini hapo.

Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mganga Mkuu wa Hospital ya Mkoa wa Arusha, Dk. Frida Mokiti,  alipokuwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Maafa  ya Mkoa, ambapo alisema hospitali hiyo inahitaji uniti 1560 za damu salama, waka  akiba ya damu salama iliyopo ni uniti 40 .

Kutokana na upungufu...

 

10 years ago

Mwananchi

Uhaba vifaatiba waitikisa benki ya damu Tanzania

 Uhaba wa dawa na vifaatiba umeitikisa ‘Benki ya Damu Tanzania’, kwani haina vitendanishi (reagents) vya kutosha kwa ajili ya kupima usalama wa damu inayokusanywa kutoka wachangiaji mbalimbali na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS).

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa nyanya Afrika Mashariki unasababishwa na nini?

Wakazi Afrika mashariki wamekuwa wakizungumzia kuadimika kwa nyanya siku za hivi karibuni. Katika baadhi ya masoko, nyanya inauzwa bei ya juu kuliko hata tufaha.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA MSIKUBALI KUTOZWA RUSHWA KWA AJILI YA DAMU, TOA TAARIFA KWA NESI, DAKTARI ATAKAYETOZA DAMU!- DK. KIGWANGALA

IMG_0681
Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akitoa maelezo ya namna wanavyoendesha shughuli zao kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla aliyefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi hizo, Januari 4, 2016. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).IMG_0770Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akimwonyesha Naibu Waziri wa Afya,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania msikubali kutozwa rushwa kwa ajili ya damu, toa taarifa kwa nesi, daktari atakayetoza damu!- Dk. Kigangwalla

IMG_0681

Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akitoa maelezo ya namna wanavyoendesha shughuli zao kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kingwangalla aliyefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi hizo, Januari 4, 2016. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Modewjiblog, Team.

Naibu Waziri wa  Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza watanzania...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kwa nini serikali ya Kenya haina fedha?

Wabunge nchini Kenya wanakutana katika kikao cha dharura ili kubaini kwa nini serikali haina fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani