Virusi vya corona: India yakumbwa na uhaba wa hospitali
Maambukizi mengi yameshuhudiwa katika mji wa Mumbai na hata kupita idadi iliyoshuhudiwa Wuhan,China ambapo maambukizi hayo yalishuhudiwa kwanza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Hospitali ya India iliyoweza kuzalisha watoto 100 kutoka kwa wanawake wenye Covid-19
Timu ya madaktari 65 na wauguzi 24 imewatibu wanawake walioambukizwa virusi vya corona nchini India.
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Boris Jonhson alazwa hospitali akionyesha dalili za virusi vya corona
Boris Johnson anaendelea na "vipimo vya kawaida", siku 10 baada ya kugunduliwa na virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Majimbo 50 ya Marekani yakumbwa mlipuko wa virusi vya corona
Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagonimeahidi kuhakikisha kunakua na uwepo wa barakoa na vifaa vya kupumulia, huku Jiji la New York likiwa limefunga shughuli zake.
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China
India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''vina dosari''.
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Kwanini dunia inaitegemea India kutengeneza chanjo ya virusi hivi?
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo wiki mobile zilizopita alisema kuwa India na Marekani zinafanya Kazi pamoja kutengeneza chanjo ya kukabiliana na virus cya corona
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Mwananume anayezika watu waliokufa kwa corona India
Abdul Malabari amechukua jukumu la kuzika watu waliokufa kwa virusi vya corona nchini India
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India
Jinsi mkutano wa kidini ulivyozua taharuki ya maambukizi ya virusi vya corona India.
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Changamoto ya kuosha mikono wakati kuna uhaba wa maji
Fahamu namna ya kuhifadhi maji kwa matumizi ya baadaye
5 years ago
BBCSwahili18 May
Virusi vya Corona: Hospitali za jiji kubwa zaidi Brazil São Paolo 'kuzidiwa' kwa corona
Hospitali za umma katika jiji la São Paulo zimejaa kwa 90% kwenye upande wodi za wagonjwa mahututi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania