Mfuko wa GEPF wakusanya Sh37.29 bilioni
>Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) umekusanya Sh37.29 bilioni kutoka kwa wanachama wake 76,000 katika kipindi cha miaka 10 kuanzia 2004 hadi Juni 2014.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WAANZISHA MPANGO WA GEPF DIASPORA SCHEME
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UqQhY-tp61E/Vac519DhhxI/AAAAAAAAtTQ/kbXQg8BGu90/s72-c/IMG-20150715-WA005.jpg)
WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA KUANZA KUFAIDIKA NA MFUKO WA GEPF KUPITIA MPANGO WA ‘GEPF DIASPORA SCHEME’ (GDS)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UqQhY-tp61E/Vac519DhhxI/AAAAAAAAtTQ/kbXQg8BGu90/s640/IMG-20150715-WA005.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-cjjuI0F7wBY/Vac55khZrGI/AAAAAAAAtTY/KMqnhpnPj9w/s640/IMG-20150715-WA006.jpg)
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
10 years ago
MichuziGEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo
MKUU wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)
Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Ikungi wakusanya Sh2.9 bilioni
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
TRA Singida wakusanya bilioni 4.14/-
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya mlipa kodi mkoa wa Singida yaliyofanyika kwenye stand ya askofu Mabulla mjini Singida.Wa kwanza kulia ni kaimu meneja wa TRA mkoa wa Singida, Samwel Shula na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi.
Na Nathaniel Limu, Singida
MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Singida, imekusanya zaidi ya shilingi 4.14 bilioni kuanzia julai mwaka jana hadi sasa, ikiwa ni ongezeko la asilimia 34 ...
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
GEPF; Mfuko uliopitia changamoto lukuki
KUNA usemi usemao: “Ukimuona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi porini,” hivyo ndivyo ilivyo kwa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu(GEPF) ulioanzishwa mwaka 1942. Mfuko huo pamoja na kuwa kwanza kuanzishwa...