Breaking News! Wananchi wa Yombo jijini Dar “wakamua jipu†wakusanya taka watupa ofisi ya Mtendaji!
Takataka zinavyoonekana mbele ya ofisi za Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Yombo baada ya Wananchi masaa machache yaliyopita kuamua kwenda hapo na kutupaa taka hizo kwa kile walichokieleza kuwa, Mtendaji huyo kushindwa kuzoa taka licha ya wananchi kulipa pesa za ukusanyaji wake. (Picha na JM wa Modewjiblog-Yombo).
Katika hali isiliyo ya kawaida, wananchi wa Yombo wameamua kuchukua hatua ya kukusanya takataaka zao zilizokuwa pembeni mwa nyumba zao na kisha kwenda kuzitupa mbele ya ofisi ya Afisa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Breaking News!!Wananchi wa Yombo jijini Dar “wakamua jipu†wakusanya taka watupa ofisi ya Mtendaji!!
Takataka zinavyoonekana mbele ya ofisi za Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Yombo baada ya Wananchi masaa machache yaliyopita kuamua kwenda hapo na kutupaa taka hizo kwa kile walichokieleza kuwa, Mtendaji huyo kushindwa kuzoa taka licha ya wananchi kulipa pesa za ukusanyaji wake. (Picha na JM wa Modewjiblog-Yombo).
Katika hali isiliyo ya kawaida, wananchi wa Yombo wameamua kuchukua hatua ya kukusanya takataaka zao zilizokuwa pembeni mwa nyumba zao na kisha kwenda kuzitupa mbele ya ofisi ya Afisa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NzduJ9_2zyE/XtZOXeyCDzI/AAAAAAALsS4/fHOnQG0qNq8OIDdXTtEvE9ZxhYgWmHYCQCLcBGAsYHQ/s72-c/msd%252Bpic.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJPiNuILdphwjCX7SVYBvOAqfUZPhN0WoxEPHSv78tkFoGQFK2fzDPuBNRCqiYmjCbnWolJm7OpbGv-PPNcVESxf/1.jpg?width=650)
LINAH ATOA MISAADA KWA WAJANE, VIKONGWE YOMBO JIJINI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qvT8WTokz6dhCDcUn6FL-jOQ6AOi*vHAWqMUP7dd8qNvLxPnZ3TZf2zbFvM3ksnxUccd8dv7pF5IAejNO2mSnswZpJ-I3d8U/Newfolder1.jpg?width=650)
APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-H2VnfbRnnyo/VcHbRbky-RI/AAAAAAABTLE/ZuBFuuMHJzs/s72-c/breaking%2Bnews.jpg)
BREAKING NEWS: MKUTANO WA PROF. LIPUMBA WAHAIRISHWA BAADA YA WANACHAMA KUZINGIRA OFISI YA CHAMA HICHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-H2VnfbRnnyo/VcHbRbky-RI/AAAAAAABTLE/ZuBFuuMHJzs/s640/breaking%2Bnews.jpg)
10 years ago
GPLWANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR
9 years ago
MichuziBALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili ya...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Breaking News: Mawaziri waliobaki waapishwa Ikulu, Dar!
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha mawaziri na naibu waziri, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli aliwateua mawaziri na naibu waziri hao Desemba 23 ili kukamilisha idadi kwenye Baraza la Mawaziri.
Walioapishwa leo ni
Prof. Jumanne Maghembe -Waziri wa Maliasili na Utalii. Dkt. Philip Mpango – Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge). Eng. Gerson Lwenge – Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Dkt. Joyce...
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Breaking News: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Ikulu – Dar
Rais John Pombe Magufuli asubuhi hii kwenye Ikulu jijini Dar es Salaam, anawaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa wizara mbalimbali aliowateua juzi Desemba 30.