Escrow yauma vigogo BoT, TRA
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni mbili kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Washtakiwa hao walipandishwa jana kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya mahakimu wawili tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Vigogo escrow waanza kulipa kodi ya TRA
10 years ago
Mwananchi19 May
Watoto wa vigogo BoT wana kesi ya kujibu
11 years ago
Tanzania Daima15 May
UFISADI BIL. 200 BoT: Vigogo waunda zengwe kukwepa
MKAKATI wa kuwanasua vigogo wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika katika kashfa nzito ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bilioni 200) katika akaunti ya Baraza la Usuluhishi...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Washtakiwa hao kutoka TRA, Tanesco na BoT walisomewa
9 years ago
Habarileo28 Nov
Mtikisiko vigogo TRA
RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, muda mfupi baada ya ziara ya kushitukiza ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa iliyofanyika jana.
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Dhamana ya vigogo TRA Sh bilioni 7.8
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeridhia kutoa dhamana kwa watuhumiwa watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwataka kila mmoja kutoa fedha taslimu Sh bilioni 2.6.
Akisoma uamuzi huo jana, Jaji Winfrida Koroso, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Tiagi Masamaki (56) ambaye ni Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo, Burton Mponezya (51) na Habibu Mponezya (45) ambaye ni Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja.
Alisema kabla ya kutoa...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Vigogo wa TRA kesi ya makontena nje
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Dhamana ya vigogo TRA Sh2.16 bilioni
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Vigogo TRA wakutwa na mamilioni nyumbani
*Bosi mpya awataka watumishi wote kutaja mali zao
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kigogo mmoja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kubainika kumiliki nyumba 73, wafanyakazi wengine wa mamlaka hiyo wamekutwa na mamilioni ya shilingi waliyoficha majumbani mwao.
Taarifa kutoka ndani ya TRA zinapasha kuwa tangu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasimamishe kazi maofisa kadhaa wa mamlaka hiyo, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na kitengo cha uchunguzi cha mamlaka hiyo, hivi sasa...