Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washtakiwa hao kutoka TRA, Tanesco na BoT walisomewa

Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow jana liliendelea kuibua mapya baada ya vigogo watatu kutoka Benki Kuu (BoT), Mamlaka ya Mapato (TRA) na Shirika la Umeme (Tanesco) kufikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya kuomba na kupokea rushwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Washtakiwa TRA wapata dhamana

Washtakiwa wanne katika kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya Sh 12.7 bilioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wamepata dhamana na kufanya idadi ya waliopata dhamana kufikia saba.

 

10 years ago

Mtanzania

Escrow yauma vigogo BoT, TRA

Pg 1Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni mbili kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Washtakiwa hao walipandishwa jana kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya mahakimu wawili tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

 MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)  YAANI ‘TANZANIA INTER-BANK SETTLEMENT SYSTEM’ (TISS) WAONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga, akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi kabla Kaimu Katibu Mkuu hajaongea na waandishi wa habari pamoja na wadau kuhusu...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM NA WAZIRI WA FEDHA IKULU KWA MAZUNGUMZO, PIA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) TRA, SUMATRA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUMATRA, TRA, na Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA, Mkuu...

 

11 years ago

GPL

Kaseja: Waleteni hao Simba SC

Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....

 

10 years ago

Mwananchi

Bahanuzi, Omega hao Ndanda

Nyota wa Yanga, Said Bahanuzi, Omega Seme na Hamisi Thabit wako mbioni kutua Ndanda FC kwa mkopo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikapu wawili hao Marekani

Wachezaji wawili kati ya watatu wa mpira wa kikapu wanatarajia kuondoka leo kwenda kwenye majaribio katika Chuo cha Post University, Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani