Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikapu wawili hao Marekani

Wachezaji wawili kati ya watatu wa mpira wa kikapu wanatarajia kuondoka leo kwenda kwenye majaribio katika Chuo cha Post University, Marekani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yatinga fainali kikapu

Marekani imetinga fainali kombe la dunia mpira wa kikapu kwa kuichapa Lithuania vikapu 96-68.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wawili wauawa Marekani

Maafisa wawili wa polisi mjini New York Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi walipokuwa ndani ya gari lao eneo la Brooklyn.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa Marekani wauawa Jordan

Wanajeshi wawili wa Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha kutoa mafunzo kwa maafisa wa polisi nje ya mji wa Amman.

 

10 years ago

Michuzi

ajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi

Na Abdulaziz Ahmed, LindiWatu wawili wamekufa na wawili kujeruhiwa baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Michenga, wilaya ya Ruangwa Ruangwa mkoani Lindi.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Lindi, ACP Renatha Mzinga alisema gari hiyo aina ya Toyota Rava4 yenye namba za usaji T574CWC.Iliyokuwa inaendeshwa na Mohamed Mchalaganya(27) iliacha njia na kupinduka katika barabara ya Ruangwa-Nanganga, ilitokea jana saa 11.30 jioni.
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...

 

10 years ago

Bongo Movies

DUNIANI WAWILI WAWILI:Huyu Hapa Hana Hata Undugu na Wema Sepetu

Ule usemi wa duniani  watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bahanuzi, Omega hao Ndanda

Nyota wa Yanga, Said Bahanuzi, Omega Seme na Hamisi Thabit wako mbioni kutua Ndanda FC kwa mkopo.

 

11 years ago

GPL

Kaseja: Waleteni hao Simba SC

Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....

 

10 years ago

Mtanzania

Busungu, Mandawa hao wakaribia Simba

simbaNa Judith Peter, Dar es Salaam
WASHAMBULIAJI wawili, Rashid Mandawa na Malimi Busungu, wanakaribia kutua ndani ya timu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mandawa (Kagera Sugar) na Busungu (Mgambo JKT) ni moja ya washambuliaji wazawa waliofanya vizuri ligi kuu msimu uliopita, Mandawa akicheka na nyavu mara 10, huku straika mwenzake huyo akifunga nane.
Chanzo cha ndani ya Simba kililipasha MTANZANIA jana kuwa mazungumzo yao na wawili hao yamefikia sehemu...

 

9 years ago

Mtanzania

Kili Stars chapa hao Wahabeshi

Kilimanjaro-StarsNA MWANDISHI WETU

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’ leo saa 10.00 jioni itakuwa ikisaka nafasi ya kuingia nusu fainali ya Kombe la Kagame pale itakapovaana na wenyeji Ethiopia kwenye mchezo wa robo fainali.

Huo utakuwa ni mchezo wa pili kwa pande hizo mbili kukutana ndani ya siku tatu baada ya juzi kuvaana katika mechi ya hatua ya makundi wakitoka Kundi A na Ethiopia kulazimisha sare ya bao 1-1.

Bao la Kili Stars lilifungwa na winga machachari Simon Msuva huku Ethiopia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani