Kili Stars chapa hao Wahabeshi
NA MWANDISHI WETU
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’ leo saa 10.00 jioni itakuwa ikisaka nafasi ya kuingia nusu fainali ya Kombe la Kagame pale itakapovaana na wenyeji Ethiopia kwenye mchezo wa robo fainali.
Huo utakuwa ni mchezo wa pili kwa pande hizo mbili kukutana ndani ya siku tatu baada ya juzi kuvaana katika mechi ya hatua ya makundi wakitoka Kundi A na Ethiopia kulazimisha sare ya bao 1-1.
Bao la Kili Stars lilifungwa na winga machachari Simon Msuva huku Ethiopia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbLLGO3dMemxhzCxjZITc88re1H1*3Zi1tqEKgZAICAsKI6OaSRZtLhUbz18rENtlbkeDZgTF6EcOl5iBAFelJ4/kilistars.jpg)
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Kili Stars go down fighting
9 years ago
Habarileo17 Nov
Kibadeni atangaza Kili Stars
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Kili Stars open against Somalia
9 years ago
Habarileo10 Nov
Kibadeni kocha Kili Stars
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.
9 years ago
TheCitizen26 Nov
JK galvanises rampaging Kili Stars
9 years ago
Habarileo28 Nov
Kili Stars, Ethiopia leo
TIMU ya Kilimanjaro Stars leo inashuka dimbani kucheza na wenyeji Ethiopia katika mchezo utakaofanyika Awassa. Tayari timu hiyo imefuzu kucheza robo fainali, lakini ushindi kwao ni muhimu ili kumaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa mchezo hata mmoja.
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kili Stars hakuna kulala
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kili Stars fungu la kukosa
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.