Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kili Stars fungu la kukosa

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars fungu la kukosa

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imetupwa nje ya Michezo ya Afrika baada ya kupoteza mechi mbili kati ya tatu za raundi ya kwanza. Twiga Stars ilianza michezo hiyo kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ivory Coast mwishoni mwa wiki iliyopita kabla ya juzi kuchapwa mabao 3-0 na Nigeria.

 

11 years ago

GPL

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0

Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!

 

11 years ago

GPL

NAFURAHI KUKOSA TUZO ZA KILI - SHEDDY CLEVER

Na Ibrahim Mussa
PRODYUZA chipukizi wa muziki wa kizazi kipya anayewika kwa sasa, Shedrack Wilcad, maarufu kwa jina la Sheddy Clever, amefurahishwa kitendo cha kutopata tuzo za Killi huku wimbo aliotengeneza ukibeba tuzo nyingi. Akizungumza katika kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online kupitia www.globalpublishers.info alisema ana furaha kwa kuwa watu wanaona anafanya vizuri, licha ya yeye binafsi kukosa tuzo. ...

 

10 years ago

Vijimambo

Pamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!

Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio na Runinga hapa nchini, lakini kama...

 

9 years ago

TheCitizen

Kili Stars go down fighting

Tanzania Mainland’s fairy-tale run at the 2015 Cecafa Senior Challenge Cup came to an end yesterday after losing to host Ethiopia on 4-3 post match penalties.

 

9 years ago

Mwananchi

Kili Stars hakuna kulala

Waswahili wanasema ‘Kupanda ngoma kushuka mchongoma’ na hicho ndicho kinachotarajiwa kutokea katika robo fainali za mashindano ya Kombe la Chalenji 2015 zinazotarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.

 

9 years ago

TheCitizen

JK galvanises rampaging Kili Stars

The Mainland soccer team, Kilimanjaro Stars, were the first side to romp into the quarterfinal stage of the 2015 Cecafa Senior Challenge Cup currently taking place in Ethiopia.

 

9 years ago

Habarileo

Kili Stars, Ethiopia leo

TIMU ya Kilimanjaro Stars leo inashuka dimbani kucheza na wenyeji Ethiopia katika mchezo utakaofanyika Awassa. Tayari timu hiyo imefuzu kucheza robo fainali, lakini ushindi kwao ni muhimu ili kumaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa mchezo hata mmoja.

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni kocha Kili Stars

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani