Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!

Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio na Runinga hapa nchini, lakini kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Christian Bela apagawisha Tabora

Christian Bella akijimwaga jukwaani.Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na  wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio...

 

10 years ago

GPL

AUAWA KWA GONGO KISA WIMBO WA CHRISTIAN BELA

Stori: Haruni Sanchawa MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Said, mkazi wa Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alifariki dunia baada ya kupigwa kwa gongo na rafiki yake Maulid Kichuri kwa madai kuwa alikataa kumrudishia ‘memori kadi’ yake ya simu iliyokuwa na wimbo wa Mwanamuziki Christian Bella uitwao Nani Kama Mama. Abdallah Said enzi za uhai wake akiwa sambamba na jamaa yake.
Kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Kili Stars fungu la kukosa

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.

 

11 years ago

GPL

NAFURAHI KUKOSA TUZO ZA KILI - SHEDDY CLEVER

Na Ibrahim Mussa
PRODYUZA chipukizi wa muziki wa kizazi kipya anayewika kwa sasa, Shedrack Wilcad, maarufu kwa jina la Sheddy Clever, amefurahishwa kitendo cha kutopata tuzo za Killi huku wimbo aliotengeneza ukibeba tuzo nyingi. Akizungumza katika kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online kupitia www.globalpublishers.info alisema ana furaha kwa kuwa watu wanaona anafanya vizuri, licha ya yeye binafsi kukosa tuzo. ...

 

10 years ago

Mtanzania

Christian Bella: Kukosa tuzo kutanifanya nitoe muziki mzuri zaidi

christian bellaNA RHOBI CHACHA
MWANAMUZIKI wa Bolingo, Christian Bella, ameweka wazi kwamba kukosa kwake tuzo hata moja kutampa nguvu ya kuandaa kazi nzuri zaidi ya alizozitoa kwa mwaka jana.
Bella aliongeza kwamba, anajiamini muziki anaofanya unapendwa na wengi, kukosa tuzo hakutamrudisha nyuma bali kutamfanya aongeze nguvu zaidi ya kufanya muziki mzuri.
“Unajua mimi siku zote najijua kama nafanya kazi nzuri na mashabiki wananikubali, ila kukosa tuzo hakunivunji moyo, yaani ni sawa na kunizidishia akili...

 

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA NZEGA TABORA PAMOJA NA WANANCHI WA SINGIDA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto aliyejulikana kwa jina moja la Rahma mara baada ya kuwasalimia Wananchi katika eneo la Mataa mkoani Singida. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Singida mjini (Kwenye Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea Nzega Mkoani Tabora. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza...

 

11 years ago

GPL

BELA, KALAMA NDOA YANUKIA

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani