Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUAWA KWA GONGO KISA WIMBO WA CHRISTIAN BELA

Stori: Haruni Sanchawa MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Said, mkazi wa Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alifariki dunia baada ya kupigwa kwa gongo na rafiki yake Maulid Kichuri kwa madai kuwa alikataa kumrudishia ‘memori kadi’ yake ya simu iliyokuwa na wimbo wa Mwanamuziki Christian Bella uitwao Nani Kama Mama. Abdallah Said enzi za uhai wake akiwa sambamba na jamaa yake.
Kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Christian Bela apagawisha Tabora

Christian Bella akijimwaga jukwaani.Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na  wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio...

 

10 years ago

Vijimambo

Pamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!

Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio na Runinga hapa nchini, lakini kama...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu ya Christian Bella kusita kufanya wimbo na Diamond

Christian Bella amesema anashindwa kumwambia Diamond waingie studio na kufanya kolabo kutokana na hofu kuwa huenda muimbaji huyo asipokee vizuri ombi hilo. Bella ambaye alikuwa nyumbani kwa Diamond weekend iliyopita wakati wa 40 ya Tiffah, ameiambia Bongo5 kuwa yeye pamoja na mashabiki wake wanatamani kuona kazi yao ya pamoja. “Wasanii sisi labda nataka niimbe na […]

 

9 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA ADAI HATOI WIMBO MPYA ILI APATE TUZO

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ amefungukia ujio wake wa sasa wa Ngoma ya Amerudi aliyoizindua mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa hatoi wimbo mpya ili apate tuzo. Staa huyo anayebamba na Ngoma ya Nashindwa, aliwaambia mashabiki wa muziki wa Dansi waliokuwa wamefurika katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MSOMI CHUO KIKUU AUAWA KISA CHIPS


Shani Ramadhani
RIP! Kijana aliyefahamika kwa jina la Shelitiael Steven Mbise, aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na muuza chipsi kufuatia kutofautiana.

Kwa mujibu wa chanzo kutoka Dodoma, denti huyo alikuwa akichukua masters akiwa kwenye mwaka wake wa kwanza.
“Marehemu alikuwa amepanga chumba nje ya chuo, Mtaa wa Chako ni Chako lakini kipindi hiki chuo kimefungwa alikuwa hapa na mara nyingi alikuwa akionekana yuko bize na masomo kwani alikuwa...

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA

Stori: Waandishi wetu/Risasi Mchanganyiko NYOTA wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda ambaye ni maarufu kama Bela, hivi karibuni alijikuta katika majonzi baada ya kijana wake wa kiume kuwasha moto na kuunguza godoro na ukuta wa sehemu ya nyumba aliyopanga. Godoro la Nyota wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda likiwa limeteketea kwa moto. Risasi Mchanganyiko lilimkuta msanii huyo akiwa amejiinamia nyumbani kwake muda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India

Watu 25 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India kutokana na kunywa pombe haramu aina ya gongo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani