Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA

Stori: Waandishi wetu/Risasi Mchanganyiko NYOTA wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda ambaye ni maarufu kama Bela, hivi karibuni alijikuta katika majonzi baada ya kijana wake wa kiume kuwasha moto na kuunguza godoro na ukuta wa sehemu ya nyumba aliyopanga. Godoro la Nyota wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda likiwa limeteketea kwa moto. Risasi Mchanganyiko lilimkuta msanii huyo akiwa amejiinamia nyumbani kwake muda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Moto waunguza hosteli ya Mabibo UDSM

Jengo la hosteli ya wanafunzi wa UDSM likiungua(Na Mpigapicha Wetu)MOTO mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, jana uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi waishio jirani na eneo hilo.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA BWENI LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR

Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar. Moto ukizidi kuunguza bweni hilo. Moto mkali ukifuka kutoka katika bweni la Block B linaloendelea kuungua hivi sasa.…

 

11 years ago

GPL

MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR

Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la…

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.

 

10 years ago

GPL

AUAWA KWA GONGO KISA WIMBO WA CHRISTIAN BELA

Stori: Haruni Sanchawa MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Said, mkazi wa Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alifariki dunia baada ya kupigwa kwa gongo na rafiki yake Maulid Kichuri kwa madai kuwa alikataa kumrudishia ‘memori kadi’ yake ya simu iliyokuwa na wimbo wa Mwanamuziki Christian Bella uitwao Nani Kama Mama. Abdallah Said enzi za uhai wake akiwa sambamba na jamaa yake.
Kwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Afa kwa kuangukiwa na ukuta wa kanisa


NA RACHEL KYALA
M Grace Zephaniah (9), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wilayani Kinondoni, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa la Calvary, lililoko Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 1.30 usiku. Hakuna aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi huku upelelezi ukiendelea.
Wakati huo huo, mtu mmoja...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wake kwa ujenzi wa ukuta kituo cha Afya Chumbuni

Katibu wa UVCCM Jimbo la Chumbuni Saadam Saleh akitowa maelezo wakati wa Mkutano wao na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akiwa katika ziara yake kuwatembelea Vijana wa UV CCM Zanzibar Katibu wa UVCCM Wilaya ya Amani Unguja Ali Seif akizungumza na Vijana wa Jimbo la Chumbuni wakati wa ziara ya Katibu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akiwa katika ziara yake kutembelea Vijana Zanzibar. Afisa wa UVCCM kutoka Makao Makuu Dar-es-Salaam Fatma Rashid akizungumza na Vijana wa UVCCM wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Godoro, miti ilivyowaokoa na kifo kwenye mafuriko

>Watoto wadogo walibebwa au kusimama kwenye mabega ya watu wazima, huku chumba kikiwa kimejaa maji. Hii ni hali ambayo ilitokea katika mafuriko ya hivi karibuni yaliyotokea Kilosa, mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Godoro, miti ilivyowaokoa watu kifo Dumila-2

Mmoja wa watu ambao wamepatwa na mkasa huo wa mafuriko anasema akiwa amelala usingizi alishangaa akivamiwa na maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani