Afa kwa kuangukiwa na ukuta wa kanisa
NA RACHEL KYALA
M Grace Zephaniah (9), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wilayani Kinondoni, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa la Calvary, lililoko Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 1.30 usiku. Hakuna aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi huku upelelezi ukiendelea.
Wakati huo huo, mtu mmoja...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV03 Feb
Wanafunzi Shule ya Msingi Mwabujose hatarini kuangukiwa na ukuta
Na Projestus Binamungu,
Simiyu.
Wanafunzi wa shule ya msingi Mwabujose wilayani Busega mkoani Simiyu wako hatarini kuangukiwa na kuta za madarasa ya shule hiyo.
Ni kutokana na baadhi ya madarasa kukaa kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati tangu yalipojengwa.
Wanafunzi 716 wa shule ya msingi Mwabujose iliyokuwepo kwa miaka 40 iliyopita katika kata ya Kalemela wilayani Busega.
Umri wa shule hii unadhihirisha kuwa imechoka kutokana na baadhi ya madarasa kuonesha kila dalili za kutaka...
11 years ago
Habarileo06 May
Padre wa Kanisa Katoliki afa ajalini
WATU wawili, akiwemo Padre Martin Kapufi (37) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, wamekufa katika ajali ya gari, walilokuwa wakisafiria, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kamsisi Barabara ya Inyonga -Tabora.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MCHEZAJI WA KMKM NA ZANZIBAR HEROES ALI SULEIMAN AFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFwG*cwdrHMOhaweez6bE*BmxqKzvG7oJncNrsUOwjQTDc1*6jyC50piTEzjo85r4MbEjUsq-M4M4-ngxFVFI2NB/11002.jpg?width=650)
MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wake kwa ujenzi wa ukuta kituo cha Afya Chumbuni
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Afa kwa kujinyonga
MKAZI wa Yombo, Baraka Nyaulo (20), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa begi alioutundika kwenye kenchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibeth Kiondo, alisema jana kuwa Nyaulo aliyekuwa...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mtoto afa kwa kubakwa
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Afa kwa kupigwa na rimu
WATU watatu wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mkazi wa Kimara aliyetambuliwa kwa jina la Ombeni Ndosa (39) kufa baada ya kugongw na rimu.