Wanafunzi Shule ya Msingi Mwabujose hatarini kuangukiwa na ukuta
Na Projestus Binamungu,
Simiyu.
Wanafunzi wa shule ya msingi Mwabujose wilayani Busega mkoani Simiyu wako hatarini kuangukiwa na kuta za madarasa ya shule hiyo.
Ni kutokana na baadhi ya madarasa kukaa kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati tangu yalipojengwa.
Wanafunzi 716 wa shule ya msingi Mwabujose iliyokuwepo kwa miaka 40 iliyopita katika kata ya Kalemela wilayani Busega.
Umri wa shule hii unadhihirisha kuwa imechoka kutokana na baadhi ya madarasa kuonesha kila dalili za kutaka...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Afa kwa kuangukiwa na ukuta wa kanisa
NA RACHEL KYALA
M Grace Zephaniah (9), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wilayani Kinondoni, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa la Calvary, lililoko Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 1.30 usiku. Hakuna aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi huku upelelezi ukiendelea.
Wakati huo huo, mtu mmoja...
10 years ago
MichuziWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wanafunzi shule za Papa, Jitengeni wamo hatarini
WANAFUNZI wa shule za msingi Papa na Jitengeni katika kata za Vunta na Kihurio wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na kusomea katika madarasa chakavu yanayotishia kuanguka wakati wowote.
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Kusoma, kuhesabu kunavyowasumbua wanafunzi shule za msingi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--EjQB0ZUUMc/VT-L6w1DF1I/AAAAAAAHT0U/Ms9GZEQqIzw/s72-c/004.MLIMANI%2BMSINGI.jpg)
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MLIMANI WAPATIWA MAFUNZO.
![](http://1.bp.blogspot.com/--EjQB0ZUUMc/VT-L6w1DF1I/AAAAAAAHT0U/Ms9GZEQqIzw/s1600/004.MLIMANI%2BMSINGI.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-G6IWUk7Zv4g/VT-L7k2nilI/AAAAAAAHT0Q/2VZlVus3JXw/s1600/005.MLIMANI%2BMSINGI.jpg)
10 years ago
Mwananchi27 Dec
RIPOTI MAALUM: Wanafunzi shule ya msingi washiriki ujangili
10 years ago
Mtanzania03 Sep
UTAFITI: Wanafunzi shule za msingi wakithiri kwa ngono
![Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Mtafiti.jpg)
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE...