Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi shule za Papa, Jitengeni wamo hatarini

WANAFUNZI wa shule za msingi Papa na Jitengeni katika kata za Vunta na Kihurio wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na kusomea katika madarasa chakavu yanayotishia kuanguka wakati wowote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Wanafunzi Shule ya Msingi Mwabujose hatarini kuangukiwa na ukuta

Na Projestus Binamungu,

Simiyu.

 

Wanafunzi wa shule ya msingi Mwabujose wilayani Busega mkoani Simiyu wako hatarini kuangukiwa na kuta za madarasa ya shule hiyo.

 

Ni kutokana na baadhi ya madarasa kukaa kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati tangu yalipojengwa.

 

Wanafunzi 716 wa shule ya msingi Mwabujose iliyokuwepo kwa miaka 40 iliyopita katika kata ya Kalemela wilayani Busega.

 

Umri wa shule hii unadhihirisha kuwa imechoka kutokana na baadhi ya madarasa kuonesha kila dalili za kutaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Saratani:Watu warefu wamo hatarini

Utafiti wa kampuni moja ya Sweden uliofanyiwa watu milioni 5 umeonekana kuthibitisha nadharia kwamba urefu wa mtu na hatari za ugonjwa wa saratani zina uhusiano.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kujitoa uhai:Vijana wengi wamo hatarini

"Watu hudhani ni uhalifu kujiua,lakini sivyo hivyo,anasema lauren Ball mwenye umri wa miaka 20 ambaye amejaribu kujiua kwa mara kadhaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watano Dar, wamo wanafunzi

>Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, watatu kati yao wakiwamo wanafunzi wawili, wakipoteza maisha baada ya kibanda walichojihifadhi kujikinga na mvua kuangukiwa na nguzo ya umeme na kuwaunguza.

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA UDAKTARI MUHIMBILI HATARINI

-AMA KWELI MGANGA HAJIGANGI
WANAFUNZI wanaosomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) wanaishi katika mazingira hatarishi kwani wanaweza kupata magonjwa ya mlipuko na yale ya kuambukizwa wakati wowote. Uchunguzi uliofanywa na Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ndani ya majengo ya chuo hicho yaliyo karibu na taasisi ya mifupa (MOI), umegundua kwamba kwa miezi mingi, vyoo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Sekondari Mshikamano hatarini

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mshikamano iliyopo Kijiji cha Rwanyo, wilayani Mbarali, Mbeya, wako hatarini kupoteza maisha kwa ajali kutokana na kukosekana kwa kivuko cha waenda kwa miguu katika eneo...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE HATARINI KUANGUKA

Na John Gagarini, Globu ya Jamii - Chalinze
WANANCHI wa Kijiji cha Mkoko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wameiomba Halmashauri kubomoa baadhi ya madarasa ya  shule ya Msingi Mkoko ambayo yananyufa na yako hatarini kuanguka hivyo kufanya wanafunzi kusoma kwa hofu.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo hivi karibuni Muhsin Mkumbi alisema kuwa majengo hayo yako kwenye hali mbaya na wakati wowote yanaweza kuanguka na kuleta madhara.
Mkumbi alisema kuwa madarasa hayo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani