Mvua yaua watano Dar, wamo wanafunzi
>Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, watatu kati yao wakiwamo wanafunzi wawili, wakipoteza maisha baada ya kibanda walichojihifadhi kujikinga na mvua kuangukiwa na nguzo ya umeme na kuwaunguza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 May
Mvua yaua wanafunzi watano Rungwe
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mvua yaua watano Singida
MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi mkoani Singida, imesababisha vifo vya watu watano, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji wakati wakivuka mto Nalala wilayani Iramba. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Maji yaua watu watano Dar
WATU watano wamekufa katika matukio matano tofauti baada ya kusombwa na maji katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam. Katika tukio la kwanza lililotokea Chanika, mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Lainant Ramadhani (2) alikufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo jirani na nyumba yao.
10 years ago
Habarileo30 Dec
Mvua kubwa yaua Dar
MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.
10 years ago
Mwananchi08 May
Mvua zaua watano Dar, mamia hawana makazi
10 years ago
Habarileo23 Mar
Mvua yaua 5 Dar es Salaam, yajeruhi
HALI ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi zikiwa zimezingirwa na maji.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Mvua yaua wawili, yakata mawasiliano Dar, Bagamoyo
MVUA inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam imeanza kuleta athari baada ya watu wawili kufariki dunia jijini humo huku kaya zaidi ya 200 zikikosa mahali pa kuishi baada ya nyumba...
9 years ago
VijimamboWATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MKOANI MBEYA WAMO RAIA WA ETHIOPIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
Na Jamiimojablog. Watu watano wamefariki dunia Mkoani Mbeya katika matukio matatu tofauti likiwemo la ajali ya haice iliyosababisha vifo vya watu wanne mkoani hapa. Katika tukio la kwanza gari lenye namba za usajili T.519 AKH aina ya Toyota Haice ikiendeshwa na dereva asiyefahamika kugongana na pikipiki yenye namba za usajili T.535 AWC aina Ya T-Better eneo la Nanenane Jijini Mbeya. Ajali hiyo imetokea Septemba...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wanafunzi shule za Papa, Jitengeni wamo hatarini
WANAFUNZI wa shule za msingi Papa na Jitengeni katika kata za Vunta na Kihurio wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na kusomea katika madarasa chakavu yanayotishia kuanguka wakati wowote.