Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua zaua watano Dar, mamia hawana makazi

>Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua zaua watoto watano, barabara zafungwa Moro

>Watoto watano wamekufa maji katika maeneo mbalimbali mkoani Morogoro na mwingine Dar es Salaam jana baada ya kutumbukia kwenye mito na mashimo yaliyofurika maji ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watano Dar, wamo wanafunzi

>Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, watatu kati yao wakiwamo wanafunzi wawili, wakipoteza maisha baada ya kibanda walichojihifadhi kujikinga na mvua kuangukiwa na nguzo ya umeme na kuwaunguza.

 

10 years ago

Michuzi

DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI


 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.


MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.


Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.


Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yazua balaa Buguruni, watu 1,163 hawana mahali pa kuishi

Zaidi ya wakazi 1,163 wa eneo la Buguruni kwa Mnyamani hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao 517 kukumbwa na mafuriko.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaua watano Singida

MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi mkoani Singida, imesababisha vifo vya watu watano, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji wakati wakivuka mto Nalala wilayani Iramba. Kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakosa makazi baada ya mvua kubwa

Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali Kijiji cha Nyakiswa, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, imeezua na kubomoa zaidi ya nyumba 45 na kuharibu mashamba yenye mazao mbalimbali ya ukubwa wa zaidi ya ekari 1,200.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaua wanafunzi watano Rungwe

Wanafunzi watano wa Shule za Msingi Ikuti na Igembe, wilayani Rungwe wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la watatu kutumbukia kwenye mto.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani