Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaua wanafunzi watano Rungwe

Wanafunzi watano wa Shule za Msingi Ikuti na Igembe, wilayani Rungwe wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la watatu kutumbukia kwenye mto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watano Dar, wamo wanafunzi

>Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, watatu kati yao wakiwamo wanafunzi wawili, wakipoteza maisha baada ya kibanda walichojihifadhi kujikinga na mvua kuangukiwa na nguzo ya umeme na kuwaunguza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaua watano Singida

MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi mkoani Singida, imesababisha vifo vya watu watano, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji wakati wakivuka mto Nalala wilayani Iramba. Kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano

Abiria watano wamekufa baada ya gari aina ya Landrover 110 waliyokuwa wanasafiria kusombwa na maji katika Kijiji cha Doromoni Wilaya ya Iramba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Afghanistan: helikopta yaua watano

Ajali ya helikopta nchini Afghanistan imeua askari wote watano wa Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua, yajeruhi watano Tabora

>Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser mali ya Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One, iliyotokea eneo la Ilolangulu wilayani Uyui.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano wa familia moja

Watu watano wa familia moja wilayani  Ludewa, mkoa wa Njombe, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Cresta walilokuwa wamepanda kuacha njia na kutumbukia mtoni.

 

11 years ago

Habarileo

Maji yaua watu watano Dar

WATU watano wamekufa katika matukio matano tofauti baada ya kusombwa na maji katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam. Katika tukio la kwanza lililotokea Chanika, mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Lainant Ramadhani (2) alikufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo jirani na nyumba yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua watu watano Hai

Watu watano wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na gari lingine katika Barabara Kuu ya Arusha- Moshi eneo la Kia Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali yaua watano wakienda kwenye sherehe

WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace eneo la Mlima Sekenke, wilayani Iramba kwenye Barabara Kuu ya Singida -Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani