Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya gari yaua watu watano Hai

Watu watano wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na gari lingine katika Barabara Kuu ya Arusha- Moshi eneo la Kia Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja

Watu watano wa ukoo mmoja wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Songwe, jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe (Sia), Wilaya ya Mbeya Vijijini baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na lori usiku.

 

10 years ago

Dewji Blog

Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!

DSC_4332

Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana  imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba  T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne  hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

DSC_4357

Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea  katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB  House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..

DSC_4349

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano

Abiria watano wamekufa baada ya gari aina ya Landrover 110 waliyokuwa wanasafiria kusombwa na maji katika Kijiji cha Doromoni Wilaya ya Iramba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano wa familia moja

Watu watano wa familia moja wilayani  Ludewa, mkoa wa Njombe, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Cresta walilokuwa wamepanda kuacha njia na kutumbukia mtoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua, yajeruhi watano Tabora

>Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser mali ya Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One, iliyotokea eneo la Ilolangulu wilayani Uyui.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali yaua watano wakienda kwenye sherehe

WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace eneo la Mlima Sekenke, wilayani Iramba kwenye Barabara Kuu ya Singida -Mwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Maji yaua watu watano Dar

WATU watano wamekufa katika matukio matano tofauti baada ya kusombwa na maji katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam. Katika tukio la kwanza lililotokea Chanika, mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Lainant Ramadhani (2) alikufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo jirani na nyumba yao.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA GARI YAUA WATATU KOROGWE

AJALI hii mbaya ilitokea juzi (Jumapili) katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ambapo watu watatu wanadaiwa kupoteza maisha. Dereva wa gari hili lililopata ajali amelazwa katika Hospitali ya KCMC, Moshi akiendelea na matibabu. (PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715779, KAMA UNA PICHA AU HABARI TUTUMIE KUPITIA NAMBA…

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua baba, mwanaye

>Watu wawili, baba na mwanawe, wamekufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea  Ikwiriri kuacha njia na kugonga kingo ya Mto Kihoi na kupinduka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani