Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA GARI YAUA WATATU KOROGWE

AJALI hii mbaya ilitokea juzi (Jumapili) katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ambapo watu watatu wanadaiwa kupoteza maisha. Dereva wa gari hili lililopata ajali amelazwa katika Hospitali ya KCMC, Moshi akiendelea na matibabu. (PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715779, KAMA UNA PICHA AU HABARI TUTUMIE KUPITIA NAMBA…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua watatu Singida

WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, 24 wajeruhiwa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Songea kwenda Mbeya kumgonga mwendesha baiskeli na kupinduka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali ya mtumbwi yaua watatu

WATU watatu wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Kitongoji cha Ngw’ale kuelekea Mtwara Mjini kuzama baada ya kukumbwa na upepo mkali. Kamanda wa Polisi...

 

9 years ago

Mtanzania

Ajali yaua watu watatu, yajeruhi 51

kamanda_geitaVictor Bariety na Emanuel Ibrahim, Geita

WATU watatu wamefariki dunia na wengine 51 kujeruhiwa mkoani Geita, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasua gurudumu kisha kupinduka.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema watu walifaki dunia katika  ajali hiyo majina yao hajatambuliwa kutokana na miili yao kuharibika vibaya.

Alisema ajali hiyo, iliyotokea saa 3;30 asubuhi katika eneo la Nyantorotoro, ilihusisha basi la Sheraton lenye namba...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21

Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mafuta walilokuwa wamepanda kupinduka na kuwaka moto eneo la Wedi, katika Kijiji cha Maseyu mkoani Morogoro, huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali nyingine iliyotokea Kimara, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua baba, mwanaye

>Watu wawili, baba na mwanawe, wamekufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea  Ikwiriri kuacha njia na kugonga kingo ya Mto Kihoi na kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua watu watano Hai

Watu watano wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na gari lingine katika Barabara Kuu ya Arusha- Moshi eneo la Kia Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA GARI YAUA MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha. Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani