Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya mtumbwi yaua watatu

WATU watatu wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Kitongoji cha Ngw’ale kuelekea Mtwara Mjini kuzama baada ya kukumbwa na upepo mkali. Kamanda wa Polisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya mtumbwi yaua mmoja Kaskazini Pemba

>Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kunusurika baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka kwenye mashamba ya mwani kupigwa na mawimbi na kuzama  baharini.

 

9 years ago

StarTV

 Watu watatu wafariki, wanne hawajulikani walipo Ajali Ya Mtumbwi Mwanza

 

Watu watatu wamefariki baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kama kivuko cha kusafirisha abiria kutoka ufukweni kwenda kwenye boti ijulikanayo kama Mtu Ni Watu  kuzama kwenye eneo la Mihama jijini Mwanza.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu usiku wa kuamkia leo, ambapo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Kamishna msaidizi mwandamizi Justus Kamugisha amethibisha kutokea kwa ajali hiyo

 Takribani miaka ishirni tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba  kilometa chache tu kabla ya kutia nanga jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua watatu Singida

WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, 24 wajeruhiwa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Songea kwenda Mbeya kumgonga mwendesha baiskeli na kupinduka.

 

9 years ago

Mtanzania

Ajali yaua watu watatu, yajeruhi 51

kamanda_geitaVictor Bariety na Emanuel Ibrahim, Geita

WATU watatu wamefariki dunia na wengine 51 kujeruhiwa mkoani Geita, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasua gurudumu kisha kupinduka.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema watu walifaki dunia katika  ajali hiyo majina yao hajatambuliwa kutokana na miili yao kuharibika vibaya.

Alisema ajali hiyo, iliyotokea saa 3;30 asubuhi katika eneo la Nyantorotoro, ilihusisha basi la Sheraton lenye namba...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21

Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mafuta walilokuwa wamepanda kupinduka na kuwaka moto eneo la Wedi, katika Kijiji cha Maseyu mkoani Morogoro, huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali nyingine iliyotokea Kimara, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.…

 

10 years ago

GPL

AJALI YA GARI YAUA WATATU KOROGWE

AJALI hii mbaya ilitokea juzi (Jumapili) katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ambapo watu watatu wanadaiwa kupoteza maisha. Dereva wa gari hili lililopata ajali amelazwa katika Hospitali ya KCMC, Moshi akiendelea na matibabu. (PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715779, KAMA UNA PICHA AU HABARI TUTUMIE KUPITIA NAMBA…

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya magari ya mizigo aina ya Scania Kipisi na Mitsubish Fusso waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani