Watu watatu wafariki, wanne hawajulikani walipo Ajali Ya Mtumbwi Mwanza
Watu watatu wamefariki baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kama kivuko cha kusafirisha abiria kutoka ufukweni kwenda kwenye boti ijulikanayo kama Mtu Ni Watu kuzama kwenye eneo la Mihama jijini Mwanza.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu usiku wa kuamkia leo, ambapo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Kamishna msaidizi mwandamizi Justus Kamugisha amethibisha kutokea kwa ajali hiyo
Takribani miaka ishirni tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba kilometa chache tu kabla ya kutia nanga jijini...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
10 years ago
Michuzi01 Jul
NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Ajali ya mtumbwi yaua watatu
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Kitongoji cha Ngw’ale kuelekea Mtwara Mjini kuzama baada ya kukumbwa na upepo mkali. Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Michuzi21 Apr
NEW ALERT: AJALI MWANZA WATU ZAIDI YA 20 WAFARIKI PAPO HAPO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7KG1WK4u-PU/XvY7ySPj2EI/AAAAAAALvmw/4TkEtmYiBVUSJJ7Gp98J6KU7eZlek9kZACLcBGAsYHQ/s72-c/radi.jpeg)
RADI YAUA WATU WANNE, WENGINE 27 WAJERUHIWA WAKIWA KWENYE MTUMBWI WILAYANI UKEREWE
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WATU wanne wameripotiwa kufariki Dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kwenye mtumbwi waliokua wakisafiria katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Akizungunza leo kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Muliro Jumanne amesema lilitokea Juni 23 mwaka huu ,saa mbili asubuhi katika Kitongoji cha Busele kilichopo Kata ya Bubiko wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Kamanda Muliro amesema mtumbwi huo wa abiria unaojulikana kwa...
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU Wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la wanandoa wawili kuuawa na kisha nyumba yao kuchomwa moto na wao kuteketea pamoja na mali zao.
Wanandoa hao ni Ramadhani Lyanga (80) na mke wake Aziza Ally (60) wakazi wa kitongoji cha Kizega kijiji cha New Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Watu watatu wafariki dunia matukio tofauti Iringa
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Dar
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari ya Eldersgate Manyara kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela,alisema kuwa mwanafunzi huyo Uswile Lazaro (15) mkazi wa kijiji cha Ulemo tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba,amejinyinga juzi jioni huko katika kijiji cha...