Ajali yaua watano wa familia moja
Watu watano wa familia moja wilayani Ludewa, mkoa wa Njombe, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Cresta walilokuwa wamepanda kuacha njia na kutumbukia mtoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Mar
Watano wa familia moja hoi
WATU watano wa familia moja katika Kitongoji cha Benaco, Kata ya Mtandi Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamelazwa katika Hospitali ya Mkomaindo huku hali zao zikiwa mbaya baada ya kunywa dawa ya kienyeji waliyopewa na mganga wa tiba za asili.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali yaua watano
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Ajali yaua, yajeruhi watano Tabora
11 years ago
CloudsFM23 Jul
FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA
Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...
11 years ago
Habarileo19 May
Ajali yaua watano wakienda kwenye sherehe
WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace eneo la Mlima Sekenke, wilayani Iramba kwenye Barabara Kuu ya Singida -Mwanza.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Ajali ya gari yaua watu watano Hai
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA