Watano wa familia moja hoi
WATU watano wa familia moja katika Kitongoji cha Benaco, Kata ya Mtandi Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamelazwa katika Hospitali ya Mkomaindo huku hali zao zikiwa mbaya baada ya kunywa dawa ya kienyeji waliyopewa na mganga wa tiba za asili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Ajali yaua watano wa familia moja
11 years ago
Michuzi
11 years ago
CloudsFM23 Jul
FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA
Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Watatu wa familia moja wafa ajalini
WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....
11 years ago
Habarileo12 Apr
Polisi waokoa watoto 4 wa familia moja waliotekwa
VITENDO vya utekaji nyara watu vimeibuka jijini Dar es Salaam baada ya watu watano wenye asili ya kiarabu kutekwa wakiwemo watoto wanne wa familia moja na baadaye kuokolewa na polisi.
10 years ago
Vijimambo
WANA NDUGU WA FAMILIA MOJA WAKUTAANA CHICAGO



10 years ago
Habarileo30 Sep
5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga
WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.
WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]
The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL
WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA