FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA
Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Futari yaua watoto watatu
WATOTO watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula futari inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Kwasunga, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Watatu wa familia moja wafa ajalini
WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Ajali yaua watano wa familia moja
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M5eIeogaRC4/UwUAtE-2exI/AAAAAAAFOGw/QloBugfai44/s72-c/IMG_1366.jpg)
10 years ago
GPLMAJAMBAZI YAUA WATATU KIGOMA
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Ajali yaua watatu, 24 wajeruhiwa
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Ajali yaua watatu Singida
WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Radi yaua wanafunzi watatu
WANAFUNZI watatu wa shule ya msingi wilayani Mpanda, Katavi wamefariki dunia kwa kupigwa na radi katika matukio mawili tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...