Futari yaua watoto watatu
WATOTO watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula futari inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Kwasunga, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM23 Jul
FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA
Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Ajali yaua watatu Singida
WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Ajali yaua watatu, 24 wajeruhiwa
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Radi yaua wanafunzi watatu
WANAFUNZI watatu wa shule ya msingi wilayani Mpanda, Katavi wamefariki dunia kwa kupigwa na radi katika matukio mawili tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...
10 years ago
GPLMAJAMBAZI YAUA WATATU KIGOMA
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Ajali ya mtumbwi yaua watatu
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Kitongoji cha Ngw’ale kuelekea Mtwara Mjini kuzama baada ya kukumbwa na upepo mkali. Kamanda wa Polisi...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Ajali yaua watu watatu, yajeruhi 51
Victor Bariety na Emanuel Ibrahim, Geita
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 51 kujeruhiwa mkoani Geita, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasua gurudumu kisha kupinduka.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema watu walifaki dunia katika ajali hiyo majina yao hajatambuliwa kutokana na miili yao kuharibika vibaya.
Alisema ajali hiyo, iliyotokea saa 3;30 asubuhi katika eneo la Nyantorotoro, ilihusisha basi la Sheraton lenye namba...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91sldqMElwhZZaGatqKQtVrNA5JCJIXdPs6Wy2wGTnCe78qc8qU1HE8sq8ryegPHIcUUouTdAk6NjjeckYAD-QjZlM/IMG20141212WA0008.jpg?width=650)
AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR