Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJAMBAZI YAUA WATATU KIGOMA

WATU watatu wameuawa huku wengine wakijeruhiwa baada ya majambazi kulipua kwa bomu gari walilokuwa wakisafiria kutoka Kilelema kwenda Kasulu mkoani Kigoma leo asubuhi. Inasemekana kuwa majambazi hayo yaliamua kuilipua kwa bomu gari hilo baada ya dereva wake kukaidi amri ya kulisimamisha gari hilo.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi Kigoma waua majambazi watano Kigoma

Polisi mkoani Kigoma, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa katika harakati za kufanya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa kuteka magari ya abiria mkoani humo.

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAUA ARUSHA

Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.…

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua polisi hotelini

ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yaua, yapora fedha

NI kama sinema vile iliyochezwa na majambazi mawili katika mji wa Geita. Majambazi hayo, juzi yaliuteka mji wa Geita kwa takribani dakika 15 kwa mtutu wa bunduki na kupora fedha...

 

11 years ago

TheCitizen

Majambazi yaua, yapora Singida

Watu wawili wamefariki dunia mkoani Singida katika matukio tofauti, likiwemo la mzee mwenye umri wa miaka 65 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao pia walipora Sh1,340,000.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua Polisi wawili

ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO

SISTA wa Prokia ya Makoka iliyopo Kibamba, ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde! Habari zaidi pamoja na picha zitawajia baadaye!

 

11 years ago

Michuzi

MAJAMBAZI WATATU WAUWAWA JIJINI ARUSHA

WATU watatu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wameuwawa jijini Arusha walipokuwa katika harakati ya kwenda kupora mamilioni ya fedha zilizokuwa zinapelekwa benki na kampuni ya Arusha Islamic Centre inayohusika na utengenezaji na uuzaji wa vigae iliyopo eneo la Esso  mjini hapa.


Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas amesema kuwa,majambazi hao watatu  waliuawa jana tarehe 3 eneo la TBL -Njiro  wakiwa kwenye harakati za...

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI WATATU WAUAWA MORO VIJIJINI

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo baada ya kuvamia dukal a mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa, kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini. Jumla ya majambazi hao walikuwa 10 ambapo saba walifanikiwa kutokomea na watatu kutiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali walioamua kuwatia moto!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani