Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wa familia moja wafa ajalini

WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Same

WATU watatu wamekufa papo hapo katika matukio mawili tofauti ya ajali ya gari wilayani Same Kilimanjaro likiwemo la mwendesha pikipiki anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 kugongwa na gari la mizigo....

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafa ajalini Moshi

Watu watatu wamefariki dunia papohapo baada ya kugongwa na basi la Kampuni ya BM Coach, lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Arusha eneo la Gezaulole, wilayani Hai.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Dar

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti, akiwamo mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Pius Msekwa, Salumu Omar (6) aliyegongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watatu JWTZ wafa ajalini Kongo

WANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) chini ya Umoja wa Mataifa, wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...

 

9 years ago

Habarileo

5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga

WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA

Stori: Juma Kapipi, Tabora
INAUMA sana! Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Miili ya watoto wawili, Daniel Paul na mdogo wake, Emmanuel Paul ikitolewa eneo la tukio. Katika tukio lililojiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa Rufita, Mwanza-Road mjini hapa baada ya nyumba waliyokuwa...

 

11 years ago

CloudsFM

FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA

Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani