Watatu JWTZ wafa ajalini Kongo
WANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) chini ya Umoja wa Mataifa, wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa ajalini
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
OFISA WA Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Edward Mosi na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Johnson Zakaria, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Chamakweza mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea saa 7.15, mchana.
Alisema ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili T. 164 AUS na T. 498 AZ aina ya Scania.
Matei alisema gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hassan Shabani mkazi wa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Watatu wafa ajalini Same
WATU watatu wamekufa papo hapo katika matukio mawili tofauti ya ajali ya gari wilayani Same Kilimanjaro likiwemo la mwendesha pikipiki anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 kugongwa na gari la mizigo....
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Watatu wafa ajalini Dar
WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti, akiwamo mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Pius Msekwa, Salumu Omar (6) aliyegongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Watatu wafa ajalini Moshi
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Watatu wa familia moja wafa ajalini
WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....
10 years ago
Mtanzania08 May
JWTZ walivyouawa DRC Kongo
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeeleza jinsi askari wake wawili wanauonda Kikosi cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kinacholinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), walivyouawa na wengine 16 kujeruhiwa na waasi wanaodhaniwa ni wa Allied Democratic Force (ADC).
Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja, alisema jana kuwa askari wawili ambao mwanzo walidaiwa kutoweka msafara wao uliposhambuliwa sasa wamekwisha kuungana na wenzao.
Alisema...
10 years ago
Michuzi02 Nov
10 years ago
Vijimambo09 Nov
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Watu 11 wafa ajalini