Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ walivyouawa DRC Kongo

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeeleza jinsi askari wake wawili wanauonda Kikosi cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kinacholinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), walivyouawa na wengine 16 kujeruhiwa na waasi wanaodhaniwa ni wa Allied Democratic Force (ADC).
Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja, alisema jana kuwa askari wawili ambao mwanzo walidaiwa kutoweka msafara wao uliposhambuliwa sasa wamekwisha kuungana na wenzao.
Alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu JWTZ wafa ajalini Kongo

WANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) chini ya Umoja wa Mataifa, wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Askari16 zaidi JWTZ wajeruhiwa DRC

Kaimu Msemaji wa jeshi hilo, Meja Joseph MasanjaJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekiri kupokea taarifa za askari wawili waliouawa Mei 5, mwaka huu na wengine 16 kujeruhiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

10 years ago

Mwananchi

Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC

Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.

 

10 years ago

Vijimambo

JWTZ YAFAFANUA KILICHOTOKEA BENI, MASHARIKI MWA DRC


Kaimu msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ), Meja Joseph Masanja, akizungumza makao makuu ya Jeshi, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba 13, 2014JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekanusha vikali taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa kuwa, wanajeshi wake wanaoshiriki katika vikosi vya Umoja wa Mataifa chini Congo, vimewapiga raia wa Beni.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, leo...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ kuwataja waliouawa DRC miili yao itakapowasili nyumbani

>Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema majina ya wapiganaji wa Tanzania waliofariki dunia kwa kushambuliwa na waasi wa ADF huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) yatatajwa baada ya miili hiyo kuwasili nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Ulimwengu afanya mauaji Kongo

ULIMWENGUNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea timu ya TP Mazembe (DRC), Thomas Ulimwengu, juzi amefanya makubwa baada ya kufunga mabao mawili yaliyoisaidia timu yake kuwafunga watani wao, FC Lupopo 4-1.

Timu hizo kila zinapochuana zimekuwa zikionyesha upinzani mkubwa, hasa kutokana na uhasama mkubwa waliokuwa nao kama zilivyo timu za Simba na Yanga kwa Tanzania.

Ulimwengu ‘Rambo’ aliyekuwa kwenye kiwango bora, alifanya mauaji hayo katika mashindano...

 

5 years ago

Global Publishers

Tanzania, Kongo kufanya kongamano la pamoja

TANZANIA kwa kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinatarajiwa kufanya kongamano la pamoja  la kibiashara kujadili ongezeko la biashara na fursa za uwekezaji na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika kuchunguza fursa mbalimbali za kiuchumi.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, mratibu wa kongamano hilo, Anna Msonsa alisema kuwa kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Septemba 22 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa FEC jijini Lubumbashi, Kongo huku likiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani