Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ kuwataja waliouawa DRC miili yao itakapowasili nyumbani

>Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema majina ya wapiganaji wa Tanzania waliofariki dunia kwa kushambuliwa na waasi wa ADF huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) yatatajwa baada ya miili hiyo kuwasili nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Paris: Wataalamu kutambua miili ya waliouawa

Wataalamu nchini Ufaransa wanachunguza kubaini iwapo anayeshukiwa kupanga mashambulio yaliyotokea Paris Ijumaa ni miongoni mwa waliouawa na polisi jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia kutambua miili ya waliouawa Kenya

Familia za wanafunzi waliouawa katika chuo kikuu Kenya zimeenda katika eneo la mkasa ili kuitambua miili ya waliouawa.

 

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU AONGOZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUAGA MIILI YA ASKARI WALIOUAWA KINYAMA

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari wawili waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga, mkoani Pwani hivi karibuni. Shughuli za kuiaga miili hiyo zilifanyika leo Jumatano Aprili 1, 2015 katika viwanja vya hospitali polisi barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam . Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. Askari hao waliuawa kinyama wakiwa kazini kwenye kizuizi cha polisi huko Vikindu kati ya mikoa ya Dar es Salaam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu idadi ya waliouawa DRC

Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, DRC ,Lambert Mende ameambia BBC kwamba takriban watu 11 wakiwemo raia wameuawa mjini Kinshasa tangu vurugu kuanza

 

10 years ago

Mtanzania

JWTZ walivyouawa DRC Kongo

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeeleza jinsi askari wake wawili wanauonda Kikosi cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kinacholinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), walivyouawa na wengine 16 kujeruhiwa na waasi wanaodhaniwa ni wa Allied Democratic Force (ADC).
Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja, alisema jana kuwa askari wawili ambao mwanzo walidaiwa kutoweka msafara wao uliposhambuliwa sasa wamekwisha kuungana na wenzao.
Alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Askari16 zaidi JWTZ wajeruhiwa DRC

Kaimu Msemaji wa jeshi hilo, Meja Joseph MasanjaJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekiri kupokea taarifa za askari wawili waliouawa Mei 5, mwaka huu na wengine 16 kujeruhiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

10 years ago

Mwananchi

Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC

Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.

 

11 years ago

Habarileo

Vikongwe wauawa, miili yao yachomwa moto

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wanne wamekufa mkoani Singida katika matukio mawili tofauti, likiwemo la wanandoa, vikongwe kuuawa kisha nyumba yao kuchomwa moto na mtu asiyefahamika.

 

10 years ago

Vijimambo

JWTZ YAFAFANUA KILICHOTOKEA BENI, MASHARIKI MWA DRC


Kaimu msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ), Meja Joseph Masanja, akizungumza makao makuu ya Jeshi, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba 13, 2014JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekanusha vikali taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa kuwa, wanajeshi wake wanaoshiriki katika vikosi vya Umoja wa Mataifa chini Congo, vimewapiga raia wa Beni.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani