Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikongwe wauawa, miili yao yachomwa moto

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wanne wamekufa mkoani Singida katika matukio mawili tofauti, likiwemo la wanandoa, vikongwe kuuawa kisha nyumba yao kuchomwa moto na mtu asiyefahamika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ofisi yachomwa moto Rukwa

Wananchi ambao walishindwa kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mjini Sumbawanga, Rukwa jana walivamia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kizwite iliyokuwa imesheheni vifaa vya kupigia kura.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Masijala ardhi Kigoma yachomwa moto

WATU wanne wanashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuchoma moto jengo la masijala ya Idara ya Ardhi Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuteketeza nyaraka mbalimbali. Akizungumzia...

 

9 years ago

GPL

MAKANISA MATATU YACHOMWA MOTO BUKOBA

Kanisa lilivyoteketea kwa moto. Kinanda kinchotumiwa na wanakwaya kwa ajili ya kupigia muziki kikiwa kimeungua. Makanisa hayo baada ya kuteketezwa kwa moto.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Imani za kishirikika, makazi yachomwa moto Kigoma

Nyumba-kigoma

Pichani ni sehemu ya nyumba iliyoteketezwa na moto na wananchi wenye hasira kali wa kijiji cha Lugongoni “A” Kata na Tarafa ya Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma kwa kile kinachodaiwa ni imani za kishirikina.

Na Mwandishi wetu, Kigoma

Familia nne za wakazi wa Kijiji cha Lugongoni “A” Kata na Tarafa ya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, hazina makazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto na nyingine kubomolewa na kundi la wananchi wa kijiji hicho kutokana na imani za kishirikina.

Kamanda...

 

10 years ago

Michuzi

pikipiki yachomwa moto kwa kukwapua simu ya mtu

 Ule usemi wa za mwizi ni arobani,umetimia leo baada ya vijana wawili wanaotumia pikipiki (majina yao hayakupatikana mara moja) wenye utaalamu wa hali ya juu wa kukwapua simu za mikonini za watu wawapo kwenye magari au hata watembea kwa miguu kushindwa kufurukuta mbele ya wananchi wenye hasira.Tukio hilo limetokea jioni hii mbele ya bustani ya Botanical kwa upande unaotazamana na geti kuu la kuingia Hospitali ya Ocean Road,baada ya kumkwapulia simu mwanadada mmoja (jina kapuni) aliekuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

NYUMBA YA NAIBU SHEHA, TIBIRINZI YACHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA

NYUMBA ya Naibu sheha wa shehia ya Tibirinzi wilaya ya Chake chake Pemba, Bikombo Simai Juma (42), ambayo imedaiwa kuchomwa moto na watu wasiofahamika kwa madai ya hitilafu za kisiasa, tukio hilo lilitokea oktoba 26, majira ya saa 7:00 usiku, ambapo wakati huo alikuwa ndani amelala na jumla ya watu 13 akiwemo mtoto mchanga wa mwezi mmoja, walisalimika kufa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
: NYUMBA nyengine ilioko kando mwa nyumba ya naibu sheha, eneo hilo la Tibirinzi, kijiji cha Minazini,...

 

10 years ago

Vijimambo

Majina ya wapiga kura yachomwa moto Dar kupinga kituo hewa

Kasheshe iliibuka katika zoezi la uandikishaji la wakazi katika Mtaa wa Mbondole katika Kata ya Msongola Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam baada ya makarani kuandikisha majina kwenye kituo bubu cha Shule ya Msingi Mbondole.

Tukio hilo lilitokea juzi asubuhi baada ya Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) tawi la Mbondole kubaini mbinu hiyo kuwa inaweza kutumika kuandisha majina watu ambao siyo wakazi, hivyo kuamuru kituo hicho kisitishwe na kuhamia kituo cha Sekondari ya Mbondole.

Wanachama...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ kuwataja waliouawa DRC miili yao itakapowasili nyumbani

>Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema majina ya wapiganaji wa Tanzania waliofariki dunia kwa kushambuliwa na waasi wa ADF huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) yatatajwa baada ya miili hiyo kuwasili nchini.

 

10 years ago

GPL

ISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO

IMEBAINIKA kuwa asilimia kubwa ya mastaa wa kike Bongo Muvi wanaishi kwa kuuza miili yao, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Akizungumza na waandishi wetu, msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza. Msanii wa filamu na muziki Bongo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani