Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC

Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DRC: MONUSCO YAWAPOTEZA WANAJESHI WAKE WAWILI

Wanajeshi wa kulinda amini wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wasiopungua wawili wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa baada ya msafara wao kushambuliwa na waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ...wakifanya doria. Kikosi cha wanajeshi wa Tanzania kilishambuliwa jana huku wanajeshi wanne wakiwa hawajulikani walipo. Hayo yameelezwa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa DRC jela kwa ubakaji

Wanajeshi 2 wa DRC wamepatikana na hatia ya ubakaji kati wanajeshi 39 walioshitakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa Marekani wauawa Jordan

Wanajeshi wawili wa Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha kutoa mafunzo kwa maafisa wa polisi nje ya mji wa Amman.

 

10 years ago

Mtanzania

JWTZ walivyouawa DRC Kongo

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeeleza jinsi askari wake wawili wanauonda Kikosi cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kinacholinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), walivyouawa na wengine 16 kujeruhiwa na waasi wanaodhaniwa ni wa Allied Democratic Force (ADC).
Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja, alisema jana kuwa askari wawili ambao mwanzo walidaiwa kutoweka msafara wao uliposhambuliwa sasa wamekwisha kuungana na wenzao.
Alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Askari16 zaidi JWTZ wajeruhiwa DRC

Kaimu Msemaji wa jeshi hilo, Meja Joseph MasanjaJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekiri kupokea taarifa za askari wawili waliouawa Mei 5, mwaka huu na wengine 16 kujeruhiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC

Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC

 

10 years ago

BBCSwahili

Oxfam:Wanajeshi wa DRC ni wanyanyasaji

Oxfam limesema kuwa dhuluma zinazoendeshwa na wanajeshi mashariki mwa jamhuri ya DRC ni sawa na zile zinazoendeshwa na waasi.

 

10 years ago

Vijimambo

JWTZ YAFAFANUA KILICHOTOKEA BENI, MASHARIKI MWA DRC


Kaimu msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ), Meja Joseph Masanja, akizungumza makao makuu ya Jeshi, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba 13, 2014JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekanusha vikali taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa kuwa, wanajeshi wake wanaoshiriki katika vikosi vya Umoja wa Mataifa chini Congo, vimewapiga raia wa Beni.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, leo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuingia DRC

Msemaji wa Serikali ya DRC amesema kuwa wanajeshi wa Rwanda wameonekana nchini humo katika hifadhi ya Wanyama ya Virunga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani