Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DRC: MONUSCO YAWAPOTEZA WANAJESHI WAKE WAWILI

Wanajeshi wa kulinda amini wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wasiopungua wawili wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa baada ya msafara wao kushambuliwa na waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ...wakifanya doria. Kikosi cha wanajeshi wa Tanzania kilishambuliwa jana huku wanajeshi wanne wakiwa hawajulikani walipo. Hayo yameelezwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC

Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa DRC jela kwa ubakaji

Wanajeshi 2 wa DRC wamepatikana na hatia ya ubakaji kati wanajeshi 39 walioshitakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC yakataa msaada wa MONUSCO

Rais wa DRC amesema kuwa jeshi lake halitakubali msaada wowote kutoka kwa kikosi cha jeshi la Umoja wa mataifa Monusco

 

10 years ago

Vijimambo

MONUSCO YAHITAJI USHIRIKIANO WA KARIBU ZAIDI NA DRC


Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Bw. Martin Kobler akiwasilisha taarifa mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuhusu mchakato wa uchaguzi mkuu, hali ya usalama na mkakati wa kupunguza walinzi wa amani. na Kueleza kwamba utekelezaji wa mamlaka ya MONUSCO unahitaji ushirikiano endelevu kati yake na mamlaka za DRC
Mwenyekiti wa Kamati ya Vikwanzo dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dina Kawar akiwasilisha...

 

10 years ago

Michuzi

MONUSCO YAHITAJI USHIRIKIANO ZAIDI NA MAMLAKA ZA DRC

 Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC  Bw. Martin Kobler akiwasilisha taarifa mbele ya  Baraza  Kuu la  Usalama  la Umoja wa  Mataifa siku ya  Jumanne kuhusu  mchakato wa  uchaguzi mkuu, hali ya   usalama na  mkakati wa kupunguza  walinzi wa amani. na   Kueleza kwamba utekelezaji  wa mamlaka ya MONUSCO  unahitaji ushirikiano endelevu kati yake na  mamlaka za DRCMwenyekiti wa  Kamati ya  Vikwanzo dhidi ya  Jamhuri ya  Kidemokrasia ya Kongo,   Dina Kawar akiwasilisha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC

Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC

 

10 years ago

BBCSwahili

Oxfam:Wanajeshi wa DRC ni wanyanyasaji

Oxfam limesema kuwa dhuluma zinazoendeshwa na wanajeshi mashariki mwa jamhuri ya DRC ni sawa na zile zinazoendeshwa na waasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ripoti yasema wanajeshi wa DRC waliuawa

Ripoti ya uchunguzi uliofanywa na madaktari wa Congo kuhusu vifo vya wanajeshi wake inaonyesha kwamba huenda waliuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hukumu ya wanajeshi wabakaji DRC leo

Hukumu inatarajiwa kutolewa baadaye leo ya kesi ya wanajeshi 39 wanaotuhumiwa kuendesha ubakaji na uhalifu wa kivita DRC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani