Ripoti yasema wanajeshi wa DRC waliuawa
Ripoti ya uchunguzi uliofanywa na madaktari wa Congo kuhusu vifo vya wanajeshi wake inaonyesha kwamba huenda waliuawa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Wanajeshi 19 wa UG waliuawa na Alshabaab
Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa wanajeshi wake 19 waliuawa kwenye shambulizi lililoendeshwa na wanamgambo wa Al shabaab nchini Somalia na wengine sita bado wakiwa hawajulikani waliko.
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
MSF sasa yasema watu 42 waliuawa Kunduz
Shirika la madaktari wasio na mipaka (MSF) limesema watu waliouawa kwenye hospitali ya shirika hilo Kunduz, Afhanistan ni 42.
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Syria yasema mauaji ya wanajeshi ni uchokozi
Serikali ya Syria imesema shambulio lililotekelezwa mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanajeshi wake watatu ni uchokozi.
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Mchezaji Ebosse alipigwa,ripoti yasema
Mchezaji soka wa Cameroon Albert Ebosse alifariki baada ya kuvamiwa na kupigwa.
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Ripoti yasema mauaji yanatisha,2014
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limesema mauaji ya halaiki ya mwaka 2014 ni aibu.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC
Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Oxfam:Wanajeshi wa DRC ni wanyanyasaji
Oxfam limesema kuwa dhuluma zinazoendeshwa na wanajeshi mashariki mwa jamhuri ya DRC ni sawa na zile zinazoendeshwa na waasi.
10 years ago
Mwananchi07 May
Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC
Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuingia DRC
Msemaji wa Serikali ya DRC amesema kuwa wanajeshi wa Rwanda wameonekana nchini humo katika hifadhi ya Wanyama ya Virunga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania