Ripoti yasema mauaji yanatisha,2014
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limesema mauaji ya halaiki ya mwaka 2014 ni aibu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ripoti yasema wanajeshi wa DRC waliuawa
Ripoti ya uchunguzi uliofanywa na madaktari wa Congo kuhusu vifo vya wanajeshi wake inaonyesha kwamba huenda waliuawa.
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Mchezaji Ebosse alipigwa,ripoti yasema
Mchezaji soka wa Cameroon Albert Ebosse alifariki baada ya kuvamiwa na kupigwa.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
AU yasema haitakubali mauaji Burundi
Muungano wa Afrika umesema hautakubali mauaji mengine ya kimbari yafanyike katika “ardhi ya bara hiliâ€.
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Syria yasema mauaji ya wanajeshi ni uchokozi
Serikali ya Syria imesema shambulio lililotekelezwa mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanajeshi wake watatu ni uchokozi.
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Ripoti yaanika mauaji
MATUKIO ya vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi yamezidi kuongezeka nchini na kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2013 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), watu 34 waliuawa na watumishi wa vyombo hivyo katika nyakati tofauti.
Ripoti hiyo iliyozinduliwa jana inaonyesha kuwa mauaji hayo yalitekelezwa na baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na sungusungu. Vyombo vingine vilivyotajwa katika matukio hayo ni polisi jamii na...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebosse:Algeria yapinga ripoti ya mauaji
Algeria imesisiiza kwamba kifo cha mchezaji wa Cameroon Albert Ebosse kilisababishwa na mashabiki waliokuwa wakirushi vitu.
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Ripoti yaanika mauaji ya vyombo vya dola
Matukio ya vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi yamezidi kuongezeka nchini na kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2013 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), watu 34 waliuawa na watumishi wa vyombo hivyo katika nyakati tofauti.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eqomeZz07-M/VT-Dx2jKGrI/AAAAAAAHTy8/533fEFnR1pI/s72-c/PIX%2B1.jpg)
UWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-eqomeZz07-M/VT-Dx2jKGrI/AAAAAAAHTy8/533fEFnR1pI/s1600/PIX%2B1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Magereza ya Korea Kaskazini yanatisha
Ripoti ya UN imeeleza kwamba mfumo wa magereza Korea Kaskazini ni wa kuangamiza, kuua, kuwageuza wafungwa kuwa watumwa, ulio na unyanyasaji, ubakaji na uavyaji wa lazima wa mimba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania