Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti yaanika mauaji ya vyombo vya dola

Matukio ya vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi yamezidi kuongezeka nchini na kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2013 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), watu 34 waliuawa na watumishi wa vyombo hivyo katika nyakati tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Ripoti yaanika mauaji

MATUKIO ya vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi yamezidi kuongezeka nchini na kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2013 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), watu 34 waliuawa na watumishi wa vyombo hivyo katika nyakati tofauti. Ripoti hiyo iliyozinduliwa jana inaonyesha kuwa mauaji hayo yalitekelezwa na baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na sungusungu. Vyombo vingine vilivyotajwa katika matukio hayo ni polisi jamii na...

 

9 years ago

Mwananchi

Vyombo vya Dola vyamkana Mnyika

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limemwonya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kutolihusisha na siasa, huku likikana kuwanyang’anya kadi za kupigia kura maofisa wake ili kufanya hujuma katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Vyombo vya dola vinashiriki ushirikina

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola wanashiriki au kuamini ushirikina na ndiyo maana wanaowafanyia ukatili watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) hawakamatwi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je ni sawa vyombo vya dola kuharamisha Zinaa?

Mume aliyempata mkewe akizini mjini Nairobi alimpeleka katika kituo cha polisi pamoja na mwanamume aliyemkamata naye kuwashitaki.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba yaita vyombo vya dola kuchunguza

Haji-Manara-SimbaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema upo radhi vyombo vya dola vichunguze mkataba wao na mchezaji, Ramadhani Singano ‘Messi’, ili kuweza kubaini ukweli na kutatua utata unaoendelea kwa sasa.
Messi atakuwa mchezaji wa pili Simba mkataba wake kuchunguzwa na vyombo vya dola baada ya ule wa Athuman Idd ‘Chuji’ kudaiwa kufojiwa saini kama lilivyo sakata la Messi, kipindi anataka kuihama klabu hiyo mwaka 2008/2009.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa klabu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyombo vya dola vitokomeze unyanyasaji kwa wanawake

MWEZI mmoja uliopita niliandika makala iliyoelezea ni kwa jinsi gani imani za kishirikina zinavyochangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji kijinsia na hasa wanawake, na hata kusababisha vifo hasa kwa vikongwe...

 

9 years ago

Mwananchi

Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu-LHRC

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia 40 ukifanywa na wananchi wa kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyombo vya dola; adui mkubwa wa demokrasia na utawala bora

Wahenga husema “kikulacho ki-nguoni mwako.” Serikali ya Tanzania imejipambanua na kujipigia debe kama ni serikali inayoongoza kwa kutumia demokrasia na utawala bora.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?

EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani